Kwa Hili WCB mmechemsha

Kwa Hili WCB mmechemsha

Kwanza Harmo kaachiwa nafasi na yeye nyimbo yake ndio anaifanyia MEDIA TOUR na DIAMOND PLATNUMZ wimbo wake haufanyii MEDIA TOUR tayari wamepeana muda na vile vile kuanzia sasa hadi mwezi wa 10 DIAMOND PLATNUMZ atakuwa bize sana ndio maana kaamua kuitoa sasa ili apate nafasi ya kufanya kazi. Wimbo wa DIAMOND PLATNUMZ ndani ya masaa 18 imeshatazamwa na watu 300,000+ hakuna msanii wa Bongo aliyefikia rekodi hiyo.
 
Kwani wewe huwa unasikiliza wimbo mmoja tu na ukitoka mwingine unaacha kusikiliza "ule" Unaanza kusikiliza huo mpya?
 
Siku hizi tunataka video kali, kama kuimba hata bi cheka anaimba
 
#Aje washkaji zangu wa nguvu.!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji. Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha kwa hisani ya # McKonjeTv on instagram @mckonje
Sele uko sahihi ila sio sana..............Lakini nyimbo yenyewe ya kawaida ila video yake ndo habareeeee ya mujini....Tisha WCB
 
Yaan mtu katumia mamilioni kutengeneza kitu kizuri, katumia nguvu zake pia kwa kucheza pengne jasho mpaka kwapani af kanakuja kanyamrege tu sjui kutoka wapi eti kanasema nyimbo mbaya haaa!!! Watu Kama nyie ilifaa muwe na dunia yenu tu maana hamna namna sasa....
huu mchezo hauitaji hasira
 
Hii nyimbo angeimba belle 9 ingepotozewa ila kwa sababu ni wenye mzki wao itabeba tuzo kibao nje huko ila video 10/10 audio -10
 
Hivi, inaanzaje kumfunika?

Kwa maana nyingine hata wasanii wengine (yeyote yule) asitoe wimbo mpaka pale wimbo wa Harmonize (au msanii aliye kwenye chati) utakapochuja?
Nisaidie kushangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa![emoji32]
 
Hahahahaaa shoo naona siku hizi upo team pinzani, sasa kama matatizo ni bora kuliko Kidogo wasi wasi wa nini?
Ehheheeh hapana nipo potepote ,,tuseme tu video iko poa nyimbo sasa kawaida tu,au unapenda nisifie tu hata napoona sio mpenzi
 
Ehheheeh hapana nipo potepote ,,tuseme tu video iko poa nyimbo sasa kawaida tu,au unapenda nisifie tu hata napoona sio mpenzi
Hapana wangu unaruhusiwa kuunena moyo wako, japo zamani kabla ya uchaguzi ulikuwa unamsifia mwanzo mwisho, anyway masalimie Nifah mwambie nimemmiss [emoji85]
 
Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
[emoji123] tutaanika acha tu afulie, na kwa vile jua anawasha Mungu zitakauka tu
 
Huo wimbo haufanyiwi MEDIA TOUR za Bongo,na ndio mtakapo ona tofauti ya DIAMOND PLATNUMZ na wasanii wengine wa bongo, na hatotokea msanii atakayeweza hilo la kutokufanya media tour na wimbo utakuwa mkubwa.
 
Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Alafu mbona hamsemi NAGHARAMIA ni copy n paste ya SAME GIRL ya usher na Rkelly??? Mbona hili hamlisemagi? Copy n paste sio dhambi cha msingi ucopy in a way itawapendeza watazamaji, ishitoshe hakuna kimpya chini ya jua in masanja mkandamizaji voice
 
Back
Top Bottom