George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Mziki mzuri anaimba nani..?Sana yaani na ndo mana watu wanapenda kuangalia video kuliko audio kwa sababu ya dance baas, mziki mzuri utapenda kuuskiliza na kuangalia pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziki mzuri anaimba nani..?Sana yaani na ndo mana watu wanapenda kuangalia video kuliko audio kwa sababu ya dance baas, mziki mzuri utapenda kuuskiliza na kuangalia pia
Swali lako linaonyesha kabisa hujawahi pata radha ya mziki mzuri, poleMziki mzuri anaimba nani..?
Dooh...Swali lako linaonyesha kabisa hujawahi pata radha ya mziki mzuri, pole
Na kama kuzungusha hata feni inazunguka sana...sijaona jipya kwenye nyimbo ya Diamond zaidi ya kuzungusha tuKama kukatika hata umeme unakatika,nyimbo mbayaaa
Sele uko sahihi ila sio sana..............Lakini nyimbo yenyewe ya kawaida ila video yake ndo habareeeee ya mujini....Tisha WCB#Aje washkaji zangu wa nguvu.!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji. Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha kwa hisani ya # McKonjeTv on instagram @mckonje
huu mchezo hauitaji hasiraYaan mtu katumia mamilioni kutengeneza kitu kizuri, katumia nguvu zake pia kwa kucheza pengne jasho mpaka kwapani af kanakuja kanyamrege tu sjui kutoka wapi eti kanasema nyimbo mbaya haaa!!! Watu Kama nyie ilifaa muwe na dunia yenu tu maana hamna namna sasa....
fun=fanKwani harmonize na Diamond ni msanii mmoja mpaka nyimbo zote mbili zisitoke kwa pamoja?
Kwani wanashare fun base moja hadi idhaniwe kuwa mashabiki wataacha kusikiliza nyimbo ya harmonize na kuamia kusikiliza nyimbo ya diamond?
Hahahahaaa shoo naona siku hizi upo team pinzani, sasa kama matatizo ni bora kuliko Kidogo wasi wasi wa nini?Nyimbo yenyewee sasa bora hiyo ya matatizo
Nisaidie kushangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa![emoji32]Hivi, inaanzaje kumfunika?
Kwa maana nyingine hata wasanii wengine (yeyote yule) asitoe wimbo mpaka pale wimbo wa Harmonize (au msanii aliye kwenye chati) utakapochuja?
Ehheheeh hapana nipo potepote ,,tuseme tu video iko poa nyimbo sasa kawaida tu,au unapenda nisifie tu hata napoona sio mpenziHahahahaaa shoo naona siku hizi upo team pinzani, sasa kama matatizo ni bora kuliko Kidogo wasi wasi wa nini?
Lionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)Hahahahaaa shoo naona siku hizi upo team pinzani, sasa kama matatizo ni bora kuliko Kidogo wasi wasi wa nini?
Hapana wangu unaruhusiwa kuunena moyo wako, japo zamani kabla ya uchaguzi ulikuwa unamsifia mwanzo mwisho, anyway masalimie Nifah mwambie nimemmiss [emoji85]Ehheheeh hapana nipo potepote ,,tuseme tu video iko poa nyimbo sasa kawaida tu,au unapenda nisifie tu hata napoona sio mpenzi
[emoji123] tutaanika acha tu afulie, na kwa vile jua anawasha Mungu zitakauka tuLionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko
Alafu mbona hamsemi NAGHARAMIA ni copy n paste ya SAME GIRL ya usher na Rkelly??? Mbona hili hamlisemagi? Copy n paste sio dhambi cha msingi ucopy in a way itawapendeza watazamaji, ishitoshe hakuna kimpya chini ya jua in masanja mkandamizaji voiceLionel Richie (all night long) =diamond ft p square (kidogo)
Copy and then paste here if you know what I mean #kufulia huko