Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

Mkuu umepiga kwenye mshono! Mi ni mkristu ila kwa haya maelezo uko sahihi kabisa. Mi tangu 2018 niligutuka usingizini sijawahi kanyaga tena kanisani tangu mwaka huo.
 
1. Epicurean paradox. The problem of evil. Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya ni contradiction.
Umeanza kujichanganya tena!! Umeshasema unapinga existence ya Mungu hayo ya kuumba si inatakiwa awe exisiting being kwanza ndio yaje? So ukipinga uwepo wake pinga His existence kwanza hayo ya kwamba kama angekuwepo mbona ameumba blah blah yanaingiaje?

Stop this zero sum game
2. Kuomba. Ukishaona una haja ya kuomba kitu kwa Mungu, huo ni uthibitisho Mungu huyo hayupo. Angekuwapo, angwkupa unachoomba kabla hujajua unakihitaji.
Anayeomba ni binadamu ina uhusiano gani na uwepo wa Mungu? Ni sawa na useme Kiranga sio mwanaume maana angekua mwanaume asingekubali kupigwa na mke wake?? Sasa kupigwa na mke kunafanya jinsia ibadilike? Maana tunaongelea existence kwanza maana huwezi kuomba kitu kwa Deity ambayo haiexist!

Same problem, exclusion bias!! Sasa wanaobishana ni wanadamu je inahusiana nini na existence ya Mungu? Kwamba mimi nikisema Kiranga ni mwanaume huku members wengine wakisema Kiranga ni mwanamke inamaana huyo Kiranga haexist kisa JF Members tunabishania jinsia yake?

Mbona hizi hoja sio rational na wala hazihoji existence ya Mungu mbali zinahoji matendo baada ya existence ya Mungu kuwepo. Embu tujadili premises ambazo Mungu haexist kwanza
 
Hahahahahhah


Piga spanaaa mkuuu
 
Umerudi kwa zamani cute...hahaah
 
First things first nimesema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo na kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya ni contradiction.

Hapo sijasema Mungu yupo, nimeonesha contradiction katika hoja ya Mungu huyo kuwapo.

Ushaelewa?
 
Dunia ni uwanja wa fujo wa hatma kila mtu atapambana kupata hatma nzuri sasa zubaa watu wanqkufanya daraja...
 

Kumbe? Watalalamika hadi lini?

Upumbavu wa wakristo na wasio waislam ni upi? Inabidi wafanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…