GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na Maziwa ) na katika CAFCL itavunja rekodi na kufika Fainali na ikitokea ikaangukia CAFCC mwakani (2024) Rais Samia ataenda kuwapokea JNIA wakiwa wamebeba Kombe.
Huyo Kipa niliyemuona jana Hotelini hata Gizani anadaka Mpira na Punje za Mchele bila wasiwasi (Pele na Maradona walimtabiria makubwa) walipomuona akiwa mdogo.
Sasa utamu hasa uko kwa hiyo Mido niliyoiona kwani inacheza mara mbili ya uwezo aliokuwa nao Tresor Lomana GENTAMIYCINE Mputu na Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima na Mafowadi wa hiyo Timu Watafunga mpaka watachoka na kuwaonea Huruma Makipa.
Na Beki niliyemuona pia Hotelini jana hata Mshambuliaji wa Manchester City FC Halaand ameshauri asajiliwe huko ila Yeye Mwenyewe (Beki huyo) kapenda kuja Kucheza Soka Tanzania kwakuwa nje ya Kucheza pia atatalii Mbugani na ataoa hapa hapa Tanzania ambako ndiko kuna Wanawake Warembo kuliko wowote duniani.
Tutatafutana Msimu huu Kudadadeki. Na sijaitaja hopa hiyo Timu sasa Wewe 'Kisokolokwinyo Kiherehere' kurupuka kisha nikupe za Uso.