Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

Tunashukuru sana kwa taarifa.
 
Hauwez kuitaja TIMU,kwakuwa UTAUMBUKA HAPO BAADAYE...UMEJIZATITI HONGERA.
 
Simba Hadi sasa imeacha wachezaji watatu 3 WA KIGENI.

Mohamed Ottara.
Agastine Okra.
Ismail Sawadogo.

Hivyo Ina nafasi TATU tu za kujaza za wachezaji wa kigeni.

Otherwise iache wachezaji kama

4. Peter Banda.
5.Pape SACKHO.
6.Sadio kanute.

Ikiwaacha HAO inakuwa na nafasi 6.
Hivyo itakuwa na asilimia 90% za UBINGWA NBCP,
Na nusu Fainali ya CAFCL
UBINGWA WA ASFC
 
Aaaahaaaaa,*****
 
Niibie Siri mnamuqcha Nani mwingine ili wote 5 wapate nafasi maana mpaka Sasa mmebaki na 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…