Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Hizi ni official?Aache uvivu wa kufikiri😅 kuna jezi kali tu wadau wana tengeneza mtaan sio ilo bayaaView attachment 3672143View attachment 3672144
Hizi ni official?Aache uvivu wa kufikiri😅 kuna jezi kali tu wadau wana tengeneza mtaan sio ilo bayaaView attachment 3672143View attachment 3672144
Ndio ila za wabunifu binafsiHizi ni official?
Izo kaliNdio ila za wabunifu binafsi
😂😂😂JOISI WOWO AMEZIKATAA BAADA YA KUTOPATA TEN PERCENT
😂😂😂hajapata makinikia kidogo
sandaland kakaza😁
ni mbayaa
ni nzuriMbona jezi nzuri wabongo tumejaa wivu na husda. Sandaland waweke mzigo sokoni tununue.
View attachment 3672164
nakununulia uvae😅Kuvaa hio jezi ni kama kuvaa sare za CCM!
mpaka hapo kwa mfanyabiasharaSandaland kitamlamba
Hapo huenda kuna vuta ni kuvute na naibu wake. Jamaa hajawahi kukaa sehemu asilete fitinaJOISI WOWO AMEZIKATAA BAADA YA KUTOPATA TEN PERCENT
Kwani kati ya TFF na wizara, mwenye mamlaka ya kupitisha jezi na kutoa tenda ni nani?Hapa ndo unagundua ,
1.kuna mfumo mbaya wa manunuzi
2.ushirikiishwaj ulikuwa duni
Kama ni kweli hizi ndiyo Jezi official, binafsi naungana na Bashite kusema ni Mbaya...
kosa lake ni Lipi?Sandaland kitamlamba
Huu Ni Ukweli UsiosemwaKuvaa hio jezi ni kama kuvaa sare za CCM!