Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
TFFKwani kati ya TFF na wizara, mwenye mamlaka ya kupitisha jezi na kutoa tenda ni nani?
TFFKwani kati ya TFF na wizara, mwenye mamlaka ya kupitisha jezi na kutoa tenda ni nani?
Mzee wa fitina ashaanza
Kazi maalum barca huku kawahiwa na mwanahamisi ndo nongwa inaanza hapoTFF na wadhamini wametoa jezi Waziri anazikataa Nchi ngumu hiyo basi akatengeneze yeye jezi nzuri..
Ila mbona ni nzuri, kwangu binafsi.ni mbayaa
Jezi ni nzuri shida Siasa zimeingia hapo hao wanajua hata jezi nzuri au mbaya ndio maana FIFA walikua sahihi wanasiasa wajitenge na football.Ila mbona ni nzuri, kwangu binafsi.
Makkonda akili Hana,sijui kwann alipata uteuzi!!!!! Jinga sana
Jezi mbona za ukweli sana aisee! Bashite Lina chuki binafsi tu.Jezi mbaya kama za mazoezi
Jezi ni nzuri kabisa, wala hazina shida yoyote.Jezi ni nzuri shida Siasa zimeingia hapo hao wanajua hata jezi nzuri au mbaya ndio maana FIFA walikua sahihi wanasiasa wajitenge na football.
Haya matakataka uliyoweka ndio unaita jezi kali? We mzima kweli?Aache uvivu wa kufikiri😅 kuna jezi kali tu wadau wana tengeneza mtaan sio ilo bayaaView attachment 3672143View attachment 3672144
Bashite Lina chuki zake binafsi,ila ndivyo walivyo watu wa dizain ya LokoleJezi ni nzuri kabisa, wala hazina shida yoyote.
Mtu akishakua kiongozi anadhani anaweza kutuchagulia hata rangi ya kitu kizuri na kibaya wanatuona matura sana.Jezi ni nzuri kabisa, wala hazina shida yoyote.
Makkonda ana chuki tu,jezi ziko poa sana tuMbona jezi nzuri wabongo tumejaa wivu na husda. Sandaland waweke mzigo sokoni tununue.
View attachment 3672164
Kabisaa.Mtu akishakua kiongozi anadhani anaweza kutuchagulia hata rangi ya kitu kizuri na kibaya wanatuona matura sana.
Aaah wewee, mie sitii neno.Bashite Lina chuki zake binafsi,ila ndivyo walivyo watu wa dizain ya Lokole
sasa hv anaigiza hasara TFF na serikali, maana sandaland ana mkataba na TFF,asilete ubabe kumpora tenda hyHapo huenda kuna vuta ni kuvute na naibu wake. Jamaa hajawahi kukaa sehemu asilete fitina
anataka tff wamtose sandaland ili alete wake ?
au anataka jayruty apewe hiyo tenda ya jezi ?Waziri ni shabiki wa Skmba...
Kapagawishwa na rangi za kijani, njano, nyeusi...
au anataka jayruty apewe hiyo tenda ya jezi ?