shida sio kwamba jezi mbaya au hazina ubora ishu ni ubunifu sanda tangu apewe uzabuni jezi anazotoa zinafanana angalia jezi hizo za blue home na nyeusi away jezi zinafanana na zilizopita ishu hana ubunifu ukiwa na jezi za afcon iliyopita chan na sasa jezi ziko vile vile hizi mpya kafanya tu kuhamisha eneo la nembo katoa pembeni kaweka kati jezi rangi ile ile muundo ule ule hata mimi naungana na bashite..
kwa sasa jezi hizi ndo wanatumoa mdogo u20 saiv kwemye michuano ya cecafa na hizi jezi ndo walitumia serengeti girls kweye michuano ya world cup u20 ilibaki tu taifa starz kuja kuzivaa