kwa hiyo jezi ya taifa stars tununue au tusinunue? kulingana na maneno haya ya waziri

Sandaland kitamlamba
mpaka hapo kwa mfanyabiashara
lazima ulale na mawazo....
ila naamini yule muha ana ngozi ngumu ashapitia ups and down nyingine

imagne ndo umeshusha pcs 5000 alafu unapata hii bad review kabla hata ujauza pcs moja
japo naamini hamna bad publicity....hii inaweza ikasabbabisha watu wazinunue kwenye mambo ya marketing...skendo inauza mzigo
 
"Jamani ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa kidogo"

~ Kwa sauti ya Baba wa Taifa la Tanzania kwa sasa, JM kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…