The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mbona jezi nzuri wabongo tumejaa wivu na husda. Sandaland waweke mzigo sokoni tununue.
View attachment 3672164
Kwenye sherehe za Uzinduzi alialikwa na wadau wengine walikuwepoHivi kulikua na ulazima wa naibu waziri kua ambasodor wa Jersey ya Timu ya Taifa?
Au wako na wengine? me ndo sijawaona.
Ni KWELI KABISAshida sio kwamba jezi mbaya au hazina ubora ishu ni ubunifu sanda tangu apewe uzabuni jezi anazotoa zinafanana angalia jezi hizo za blue home na nyeusi away jezi zinafanana na zilizopita ishu hana ubunifu ukiwa na jezi za afcon iliyopita chan na sasa jezi ziko vile vile hizi mpya kafanya tu kuhamisha eneo la nembo katoa pembeni kaweka kati jezi rangi ile ile muundo ule ule hata mimi naungana na bashite..
kwa sasa jezi hizi ndo wanatumoa mdogo u20 saiv kwemye michuano ya cecafa na hizi jezi ndo walitumia serengeti girls kweye michuano ya world cup u20 ilibaki tu taifa starz kuja kuzivaa
shida sio kwamba jezi mbaya au hazina ubora ishu ni ubunifu sanda tangu apewe uzabuni jezi anazotoa zinafanana angalia jezi hizo za blue home na nyeusi away jezi zinafanana na zilizopita ishu hana ubunifu ukiwa na jezi za afcon iliyopita chan na sasa jezi ziko vile vile hizi mpya kafanya tu kuhamisha eneo la nembo katoa pembeni kaweka kati jezi rangi ile ile muundo ule ule hata mimi naungana na bashite..
kwa sasa jezi hizi ndo wanatumoa mdogo u20 saiv kwemye michuano ya cecafa na hizi jezi ndo walitumia serengeti girls kweye michuano ya world cup u20 ilibaki tu taifa starz kuja kuzivaa
Mbona ziko vizuri tu kwani wamesema zina shida gani ?????
Hajampa 10% mkuu wake...Mbona ziko vizuri tu kwani wamesema zina shida gani ?????
Kabiiiiiiiiiiiiiiisa!!! Kidogo kula na nduguyo ausio! Hatari sanaHajampa 10% mkuu wake...
Waziri gani unaemsemea? wewe ukimuona waziri unaweza kumtambua?