Ni ujinga ujinga tuKumbe kila mnyoo(hairstyle) inaakisi tabia fulani? Ngoja tuzidi kujifunza
Chit-chat tu nadhani, kama mleta mada yupo serious atakuwa anazingua.Ni ujinga ujinga tu
YeahChit-chat tu nadhani, kama mleta mada yupo serious atakuwa anazingua.
Msituharibie mabinti zetu.Wahuni sana hao, vinajionaga vizuri vimemaliza maisha halafu kawe kanavaa na miwani kanaona dunia yote yake daaah! Piga sepa