Wachangamfu(wacheshi)
Wabishi kimtindo
wapo sexy
Awe black or white huwa wanavutia
Wanajua vitu vingi
Watafutaji/wapambanaji
Wasafi/smart
Mwisho lakini si kwa umuhimu: huwa nawapendaga sana
Wapo kama muwa kule kwa juu sio? Na wanaonyoa upara je? Au wanaosuka,, kwanini lakini mko hivyo enyi pipoSio watamu 😎
Wakuu,
Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele.
Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
View attachment 3484024
Wanaonyoa upara n Wahuni 😎Wapo kama muwa kule kwa juu sio? Na wanaonyoa upara je? Au wanaosuka,, kwanini lakini mko hivyo enyi pipo
ChaiWajuaji sana
Dada upo? Nimekumiss sana aisee, sijakuona since last year😅
Mixxx by YASSS, but-hole usable.Wakuu,
Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele.
Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
View attachment 3484024
Multisectoral. Kiswahili sijui vizuri ishi na hiyo😅Mkuu unaposema wanajua vitu vingi unamaanisha nini?
Nipo ndugu yangu wa damu..Dada upo? Nimekumiss sana aisee, sijakuona since last year😅
Namba yako nilipotezaga aisee, nitumie nitakucheck leo
Mambo yanakua tu mengi sometimes😅😅Nipo ndugu yangu wa damu..
ulipotea sana pia, nani kakuteka eti..!?
ngoja nije chemba tuyazungumze vyema..!Mambo yanakua tu mengi sometimes😅😅
Powa My sisterngoja nije chemba tuyazungumze vyema..!
Yupo serious na ni ukweli mtupu. Fuatilia watoto wenye vipilipili huwa watundu sana. Ukubwani wananyoa vipara na kugeuka watata/wakorofi sana.Chit-chat tu nadhani, kama mleta mada yupo serious atakuwa anazingua.
Wakuu,
Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele.
Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
View attachment 3484024@cocastic nimependa style yako ya nywele.
Ni low quality...ukimuonga sana ni buku 2 au 3Wakuu,
Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele.
Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
View attachment 3484024