Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

Wakuu,

Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele.

Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela


View attachment 3484024
20251003_193259.jpg
 
Chit-chat tu nadhani, kama mleta mada yupo serious atakuwa anazingua.
Yupo serious na ni ukweli mtupu. Fuatilia watoto wenye vipilipili huwa watundu sana. Ukubwani wananyoa vipara na kugeuka watata/wakorofi sana.

Angalia wanaume wenye rasta, hawa jamaa wanajiamini sana. Ni nadra kukuta rasta muoga muoga. Kitendo tu cha kufuga rasta ni ishara ya mtu kujiamini dhidi ya mitazamo ya kijamii.

Angalia watu wote makini hata nywele zao kichwani vipo kwenye mpangilio maridadi. Ni nadra kukuta mtu makini ajachana nywele au zipo rafu rafu.

Muonekano wa mazingira ya nywele za mtu unaongea jambo kumhusu yeye.
 
Napitia comments hapa, 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom