ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia