Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Kwa namna jamii yetu ilivyo hilo jambo linasound "awkward".....linahitaji uelewa binafsi wa huyo mwanaume.......ila kutokana na mazingira yetu hilo gumu
 
Mnatuchanganya mtu mmoja hisia kibao, wengine sio Ma alehandro bhana tuna definition zetu tofauti kuhusu hisia.
#Unyama 1: 5-6
 
shida huna adabu wewe ni wakunipita mimi kama jiwe bila salamu....eti unasubili mimi nikuanze wewe kukusalimia..halafu punguza dharau mimi kwanza nilikuwa sikupendi ila nilitamani nionje hilo zigo lililokuwa linatikisa kwenye dera...wewe ni single mother (ni mwanamke ) wewe sio msichana mdogo kwamba ndio unaanza kujifunza mapenzi, wengi wamepita hata mimi napita kama wengine....eti unaniambia unapenda kubembelezwa mimi sijui kumbembeleza mwanamke .
Naona mzee umeamua kumpakilia kabisa . 😂😂😂 halafu unakuta mwanamke mwenyewe ni mnene hio ni hatari...😀😀😀
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Kwani wewe huwa unamkubali kila anayekuja kwako? Hata sisi ni very selective.
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe😋😋
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Mi wameonesha hizo ishara wengi ila nimenasa kwa mmoja tu.
 
Huyu mtoa mada wala hajulikani ni wa upande gani..mara aje kiume ume...mara ajibadil aje ki kike kike...yan kiujumla haelewek..
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe😋😋
📌📌📌📌📌
Naaaam
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe[emoji39][emoji39]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Naaaam
Kwaiyo unamfikia unamwambia, "samahani kaka yangu, mi nimekupenda... twende basi ghetoni kwako ukanioneshe friji linalotumia mkaa"
Haki ya nani, dunia ina mengi!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Alisikika singo maza mmoja
 
Pole sana bi dada. Nakukumbusha sio wajibu wa mwanamke kumpenda mwanaume. Rejea maandiko.
 
Single mother hamna soko huwezi mpenda kijana mbichi bishoo handsome ana pesa utamletea mikosi tu kaa kwa kutulia

Kingine punguzeni ego kwa sana inawagharimu kwa kweli mwambie tu basi tatizo kujikuta mwanamke special wewe ndo upewe attention
 
Sio kufukia hatua hii yaan had kutamani kutongoza ila yakinikuta pia siwez kumwambia mwanaume maana izo dharau zake utazopewa sio mchezo
Kunguru wa Manzese
 
Mfungukie tu, atakuelewa. Siyo wote wenye fikra kama hizo. Usije konda kwa kumkosa aliyekamata mtima wako.
Kila la heri.
 
Back
Top Bottom