monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari! Nyie ndo mnaotukosesha bahati madomo zege [emoji34][emoji34]Umalaya tu unawasumbua
[emoji23][emoji23][emoji23]Tiba pekee hapo ni muda tu mkuu, kadri muda unavyo kwenda ndivyo utakua unapona pole pole.
msala ni kupata mnaependa....kupata unae mpenda unaweza na kupata anaekupenda ni sawa.....kupata mnaependana ni bahati ambaya hupatikana kwa bahati na kwa wenye bahati.Amekuacha eee umeachwa kubali kubali [emoji849][emoji849]utapata wako mtakae pendana
Kuna njemba zina roho ngumu..!! Zingine huwa zinakaza mpaka zisikie maneno..Mualike dinner halafu tupia kimini cha maana uone kama hatakuomba mkapumzike kidogo chumbani
Kinachofuata hapo huwa ni kuchukiwa na mtegaji mpaka basiKuna njemba zina roho ngumu..!! Zingine huwa zinakaza mpaka zisikie maneno..
Na wengine huishiwa kutangaziwa vibamia, wakati hata hajakiona, au jogoo hapandi mtungi wakati hata hajajaribuKinachofuata hapo huwa ni kuchukiwa na mtegaji mpaka basi
Haya mambo lazima uumizwe ndio unakua mjanja mjanja[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi niliwahi lazwa hospitali siku nne kisa demu kanikubali, ila show anapewa mwingine, mi nanyimwa, natoa tu pesa!
Walivyopima wakasema nina malaria 2 na typhoid
Pmbf zake yule dokta wa mchongo[emoji23] Halafu Judi kokote uliko ulaaniwe[emoji23]
Jichanganye sasa nikutongoze.Tayari! Nyie ndo mnaotukosesha bahati madomo zege [emoji34][emoji34]
Wakati unasubiri maumivu yaishe naomba tuungane kusubiri uo muda ufike wa machungu kupotea mana wanasema muda ni tiba pekee ya maumivuNapitia situation kama hii kusema ukweli inauma sana