Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Jikite katika kufanya kazi zako,

Keep busy,

Jipende mwenyewe,

Jiheshimu mwenyewe ,

Toka na marafiki zako na kufurahi.

Ishi maisha yako.

Onesha Yani bila yeye bado unaweza kufurahia maisha yako. Lakini si ktk hali ya mashindano!

Mara moja moja (mara chache) mtupie salamu hata kwa sms.

Iwapo anakupenda Kwa dhati itampelekea kukumiss na utaona mrejesho.
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Njoo DM Halafu jifanye umekosea, Mimi nitajua la kukuambia babe.
 
💀
 
Attachments

  • 802A279D-308A-40A5-BBF2-B668679BCA15.jpeg
    802A279D-308A-40A5-BBF2-B668679BCA15.jpeg
    24.9 KB · Views: 8
Binti tumia mbinu za kimya kimya
Asipojiongeza achana nae
Raha ya penzi mwanaume aanzishe
Utakua na uhakika gani he really wanted you too?.
 
Ni kweli kabisa.

Hata kwenye mawasiliano Mwanaume anapaswa kuwa mwanzilishi wa mara Kwa mara lakini ikiwa kinyume chake mmh itabidi uanze kufikiria labda huenda kuna anakowajibika zaidi.
 
Let him initiate the conversation in most of the time.

Don’t respond quickly from his sms or calls as if you were waiting for them!
 
Halafu mwanamke ukitumia nguvu Au ushawishi katika kuanzisha mahusiano ya aina hiyo ujue itahitajika nguvu na ushawishi katika kuyaenzi na ku-maintain hayo mahusiano [emoji108][emoji108]

La sivyo kidogo tu yanatetereka kama si kuvunjia na yakiweza kuendelea ni kimakandamkanda tu na nguvu nyingi na ushawishi.

Imeandikwa:

“Enyi binti Sayuni msiyachochee
Mapenzi mpaka yatakapoona yenyewe”
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Acha ujinga naye ana anayempenda zaidi
 
Mi alinambia live tu na sababu ya kunipenda kiukweli nilifurah sana tu kwanza mzuri amefit vigezo vyote, pia sio yy tu na hakuna niliyemkatili hisia zake
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Pole kwa changamoto mkuu..
 
Hebu sogea kwa huku kwanza, sikuwa najua yaani ntakupenda mpaka basi
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe[emoji39][emoji39]
Umemalizaaa.
 
Ke mnauzi some time bana !!!! domo unalo kwani ukinambia tukiwa wawili tuuu.kuna ubaya gani?? Waweza kuta nakupenda pia lkn naogopa ile kupiga mikelele ya kubaka....nyie wenyewe ndo mliharibu huko nyuma mkatupatia majina ya kila aina ndo ivo sasa tumesusa...mjilaumu wenyewe lkn siyo sisi.......na badooo hiyo mbona trailler tuuu.....ukiogopa wenzako wanao jua kutu approach wanakula kiubweteee...kazi kwako sasa.
 
Back
Top Bottom