Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Wanawake mkidharauliwa mnajiona mmeoneqa ila nyie ndio kila siku mnawafanyiwa wanaume haya mambo.
Huyo unaemlenga ndio ameweza kusema na hisia zake na wewe zisemeshe zako zokuelewe.
 
Mawee karaghabao!!!....labda mleta mada ni mwanakijiji..... Siku hizi kidume ukiwa na hela tu tena siyo nyingi saana....elimu nzurii....kaz nzuri...gari...jamani mbona utawakimbia..utatafuta ulinzi mtu ke asikusogelee mita 2..kila ke anatamani akuguse tu.akusemeshe..akuone..sasa eti kuna mleta mada ananitamani ila hasemi wkt usiku kucha nime firigisa waremboooo!! Nimejichokea mpaka baaaasi....ukiniogopa ndo nafuu yangu!!
 
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi

Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?

Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Shida nyingine demu anakutafutia wakati wa hali ya joto wakati wa baridi kali amekublock.Hii sio sawa
 
Hisia ni weakness kwa binadamu inayomfanya kuwa unconcentrated, incompetent na unproductive kwenye maisha yake mwenyewe wanakuja kushtuka muda mwingi umepita na kupotea kwenye kitu ambacho tangibly hakina umuhimu wowote.

You're wasting your time.
 
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe[emoji39][emoji39]

Mh we dada wee...basi nifungukie[emoji1787]
 
Single mother hamna soko huwezi mpenda kijana mbichi bishoo handsome ana pesa utamletea mikosi tu kaa kwa kutulia

Kingine punguzeni ego kwa sana inawagharimu kwa kweli mwambie tu basi tatizo kujikuta mwanamke special wewe ndo upewe attention

Sidhani kama uko sawa kwenye kauli yako,dada ako anaweza kuwa single maza pia!!! Jifunze kuwaheshimu mkuu
 
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Kauli za hovyo hizi.... Ipo siku atakulilia kwa sababu zipi.!?? Wewe uliowakataaa utawalilia pia..!????

Jifunze kukataliwa Mwanamke.... Hauna u-spesho wowote kwake unaodhani unao..... Usijipe tabia ya HELA,, ya kupendwa na kila mtu.... PESA tu ndio kitu mtu akikichezea atakuja kukililia...

Wanaume ni ngumu sana kumkataa Demu,,,, Ukiona Jamaa anachomoa na mbinu zote hizo hehehehe.... Ujue wewe ni

POLE..
 
Mkuu achana nae..niambie Mimi hayo maneno Wala sitaringa na Wala sitajifikiri afu sio mchoyo nitakupa yote.
 
Mawee karaghabao!!!....labda mleta mada ni mwanakijiji..... Siku hizi kidume ukiwa na hela tu tena siyo nyingi saana....elimu nzurii....kaz nzuri...gari...jamani mbona utawakimbia..utatafuta ulinzi mtu ke asikusogelee mita 2..kila ke anatamani akuguse tu.akusemeshe..akuone..sasa eti kuna mleta mada ananitamani ila hasemi wkt usiku kucha nime firigisa waremboooo!! Nimejichokea mpaka baaaasi....ukiniogopa ndo nafuu yangu!!

Ndio maana thamani ya mambo hayo imeshuka sana siku hizi.

Imefika mahala wanaume wanajiuliza mwanamke ana nini cha ziada cha kutoa mbali na K ?

Wanawake wanajirahisisha sana na kuji expose kwa tamaa ya pesa !

Sasa wamejikuta wanatumika tu kama toilet na kutupwa kwenye dustbins!

Na kipimo cha kujua kama kuna penzi la kweli mojawapo ni pale ambapo mwanamke anapokuwa na financial freedom sufficiently kuweza kujifanyia maendeleo ya mali zisizohamishika yamkini!
 
Mawee karaghabao!!!....labda mleta mada ni mwanakijiji..... Siku hizi kidume ukiwa na hela tu tena siyo nyingi saana....elimu nzurii....kaz nzuri...gari...jamani mbona utawakimbia..utatafuta ulinzi mtu ke asikusogelee mita 2..kila ke anatamani akuguse tu.akusemeshe..akuone..sasa eti kuna mleta mada ananitamani ila hasemi wkt usiku kucha nime firigisa waremboooo!! Nimejichokea mpaka baaaasi....ukiniogopa ndo nafuu yangu!!
Dah mkuu hata Mimi sijui ni Maisha au Nini lakini Nina muda mrefu hasa sijalamba asali na sio Kama hakuna mwanamke Ila Sina appetite kabisa.
 
Halafu mwanamke ukitumia nguvu Au ushawishi katika kuanzisha mahusiano ya aina hiyo ujue itahitajika nguvu na ushawishi katika kuyaenzi na ku-maintain hayo mahusiano [emoji108][emoji108]

La sivyo kidogo tu yanatetereka kama si kuvunjia na yakiweza kuendelea ni kimakandamkanda tu na nguvu nyingi na ushawishi.

Imeandikwa:

“Enyi binti Sayuni msiyachochee
Mapenzi mpaka yatakapoona yenyewe”
Ukifosi kingi utajilipia hadi mahari
Akikuridhia atalipia kila kitu au vitu vingi
 
Back
Top Bottom