Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwa namna jamii yetu ilivyo hilo jambo linasound "awkward".....linahitaji uelewa binafsi wa huyo mwanaume.......ila kutokana na mazingira yetu hilo gumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mzee umeamua kumpakilia kabisa . 😂😂😂 halafu unakuta mwanamke mwenyewe ni mnene hio ni hatari...😀😀😀shida huna adabu wewe ni wakunipita mimi kama jiwe bila salamu....eti unasubili mimi nikuanze wewe kukusalimia..halafu punguza dharau mimi kwanza nilikuwa sikupendi ila nilitamani nionje hilo zigo lililokuwa linatikisa kwenye dera...wewe ni single mother (ni mwanamke ) wewe sio msichana mdogo kwamba ndio unaanza kujifunza mapenzi, wengi wamepita hata mimi napita kama wengine....eti unaniambia unapenda kubembelezwa mimi sijui kumbembeleza mwanamke .
Kwani wewe huwa unamkubali kila anayekuja kwako? Hata sisi ni very selective.ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Mi wameonesha hizo ishara wengi ila nimenasa kwa mmoja tu.ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
📌📌📌📌📌Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe😋😋
Mi huwa siwaz kuhusu kufikiriwaje sijui,mi ninachofikiria ni nimependa na anapaswa afahamu hilo...Ivo namchana ukweli kuwa nampenda.Mambo ya kuwaza sijui atanifikiriaje na kusubiri utongozwe ndo tunakuja kubali na wajinga maana unaona kama bahati.Nifikirie vyovyote utajua mwenyewe[emoji39][emoji39]
Kwaiyo unamfikia unamwambia, "samahani kaka yangu, mi nimekupenda... twende basi ghetoni kwako ukanioneshe friji linalotumia mkaa"[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Naaaam
Alisikika singo maza mmojaila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Pole sana bi dada. Nakukumbusha sio wajibu wa mwanamke kumpenda mwanaume. Rejea maandiko.ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Ras Simba apitie huu uzi tafadhari......Women needs attention
Men needs sex
bila shakaRas Simba apitie huu uzi tafadhari......
Wewe huteseki mamiloo ?Kumbe watu wanatesekaga hivi [emoji23]