Mimi nikijikita na wewe je?Mwanamke akitaka mwanaume anampata kwa gharama yoyote ,ongeza juhudi kidoogo
Ukute ntu mwenyewe ni wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkubalie mtoto wa ntuUnataka kumlazimisha akutake..?
Huu ujumbe ungempa mlengwa sisi huku tutakudis tu!,Kama hashughuliki nawewe sio kigezo cha kuja kutoa maneno humu,mfate mwambie haja ya moyo wako Kama unampenda kweli hizo nadharia unazotengeneza hazitakusaidia kitu!.
Siwezi kuwa mimi mkuu..Ukute ntu mwenyewe ni wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkubalie mtoto wa ntu
Mkuu nani kakuudhi leo?Unataka kumlazimisha akutake..?
Huu ujumbe ungempa mlengwa sisi huku tutakudis tu!,Kama hashughuliki nawewe sio kigezo cha kuja kutoa maneno humu,mfate mwambie haja ya moyo wako Kama unampenda kweli hizo nadharia unazotengeneza hazitakusaidia kitu!.
Hakuna alieniuzi..Mkuu nani kakuudhi leo?
Na hii baridi, lazima kutesekaila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida inakuja, atanichukuliaje? Labda nataka nimgawie ujauzito? Atahisi mi mgonjwa? Au mi kahaba?
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Umejuaje kama sio wewe HB wa JF[emoji1787][emoji1787]Siwezi kuwa mimi mkuu..
😂😂 Aisee huo u HB nimeuokotea wapi..?Umejuaje kama sio wewe HB wa JF[emoji1787][emoji1787]
Nimejikuta najaribu kuunganisha dots.. usijekuta wewe ndio huyu binti kwenye huu uzi wa jamaa maana naona nyuzi zenu zimepishana kwa nusu saa tu..🤣ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi