Kwa hiyo ndo kusema kuwa wanawake hatuna haki ya kuelezea hisia zetu?

Shida huna adabu wewe ni wakunipita mimi kama jiwe bila salamu....eti unasubili mimi nikuanze wewe kukusalimia..halafu punguza dharau mimi kwanza nilikuwa sikupendi ila nilitamani nionje hilo zigo lililokuwa linatikisa kwenye dera...wewe ni single mother (ni mwanamke ) wewe sio msichana mdogo kwamba ndio unaanza kujifunza mapenzi, wengi wamepita hata mimi napita kama wengine....eti unaniambia unapenda kubembelezwa mimi sijui kumbembeleza mwanamke .
 
😀😀😀
 
Wanaume Mungu anawaona. Ipo siku utatamani walau kupata faraja la umpendaye na hutofanikisha. Malipo ni hapa hapa duniani.

Mwacheni acheze na hisia, ipo siku atalilia
Mimi wala sijaliii,,, Sijaliiii,,, ku pretend Maisha siwezi,,,, Naipenda Tabia Yangu...

By bongo Fleva
 
[emoji75][emoji81][emoji114] aisee!
 
Umepatwa na Nini tena dear😘.
 
Kwani sisi tunawezaje...!? makonfidensi tu yatakuwezesha. Njoo nisaundishe
 
Mapenzi ni hisia. Utakuta unamuonesha hivyo kumbe naye hana hisia na wewe.
Labda ni udomo zege unamsumbua.
 

Tunajua sana, sema atakuwa hakutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…