Kwa hiyo one can say with certainty ni akina nani walimkata mtu kichwa

Mambo ya kijingajinga sana.Hao watu wanatumwa au kujituma kuteka, kutesa, kudhalilisha, hata kuua ipo siku na nyakati watajiweka wazi au kuwekwa wazi mbele ya uoni wa jamii.Hakuna unabii hapo na watajulikana tu.
 
Mada inasema "watekaji wanajulikana"; lakini wewe bado unayo mashaka juu ya hao wanaojulikana?
Unasubiri wajulikane kwa njia zipi zaidi ya mleta mada alizoziona!
 
Kwahiyo kwa leo kwa hili la Jumbe confirmed watekaji wamejulikana. Chapter closed.
Twende tukalime
Waliomkata kichwa yule jamaa ni watekaji wa Samia 100%. Wala usipepese macho. Ile ya watu kutokea na kusema ati mimi ndiyo niliyemchinja ni maigizo tu. Staged.

Mbwa wamechukua nchi na sasa ndiyo matokeo yake haya
 
Mambo ya kijingajinga sana.Hao watu wanatumwa au kujituma kuteka, kutesa, kudhalilisha, hata kuua ipo siku na nyakati watajiweka wazi au kuwekwa wazi mbele ya uoni wa jamii.Hakuna unabii hapo na watajulikana tu.
Mtaendelea kusema ipo siku hadi pale wasemaji nanyi mnatekwa huku mnasema ipo siku! Hatua ilipo fikia ni kuchukua hatua
 
Kwahiyo kwa leo kwa hili la Jumbe confirmed watekaji wamejulikana. Chapter closed.
Twende tukalime
huenda ni walinzi katili wa heche ambao waliodhulumu a.kibao, na kujaribu kudhulumu maisha ya sigara mligo pale Njombe,
ni wazi huenda ni hao hao waliofanya hii drama ya jumbe 🐒
 
Back
Top Bottom