Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Yap Hana mwisho mzuriOneni kilio Cha Mamba .
Ninaamin, Hataishi kufaidi hukumu hii.
View: https://youtu.be/qwSLq5v-jog?si=_OuO1nbpHmmdNPE7
Sahihi kabisa,kuna tofauti kubwa kati ya haki na sheria,unaweza ukawa na haki ila mwanasheria akacheza na sheria ukashindwa kesi.Wenyewe wanataka "proof beyond reasonable doubt"..
Kwa mfumo wa mahakama haujali hisia wala utashi wa kawaida. Unahitaji logic, uelewa wa sheria na jinsi ya kucheza nao
Hapa ndo maskini na watu wasio na uwezo hupoteza haki zao maana mwenye kuijua sheria, nguvu ya kupata mwanasheria mzuri na pesa ya kufanya lobbying, lazma apenye hata akifanya kosa
Tena mimi aliniambia bora uoe shoga ila sio MmachameMama aliniambie usimchumbie Mmachame
π€£π€£π€£ We umeua bila kukusudia -manslaughterTena mimi aliniambia bora uoe shoga ila sio Mmachame
Mke wa Bilionea aue wifi kwa sababu ya kiwanja , hicho kiwanja kingeuzwa bei gani ?Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiwrka Kwa dada yake Aneth Msuya.
Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja liondoke .
Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Usigeneralize. Upande mmoja ndio unachinjwa sio kuchinjana. Yani upande wa Msuya.Watu wa Kaskazini baadhi wanajikuta wanaijua sana pesa, mimi nasemaje mahakama iwaache wachinjane kama kuku hadi siku watakapotambua maisha ni zaidi ya pesa
πππππ AiseeeTena mimi aliniambia bora uoe shoga ila sio Mmachame
Kabisa mkuu, fikiria mtu anafungua mashtaka ya madai wakati kaibiwa. Mwisho wake kesi badala ya kuwa ya kunai inageuka kuwa ya madai ambayo haina uzito mkubwa.Sahihi kabisa,kuna tofauti kubwa kati ya haki na sheria,unaweza ukawa na haki ila mwanasheria akacheza na sheria ukashindwa kesi.
Niliwahi kumuambia mtu hiki kitu, alinibishia sana, natamani aione hii.Wenyewe wanataka "proof beyond reasonable doubt"..
Kwa mfumo wa mahakama haujali hisia wala utashi wa kawaida. Unahitaji logic, uelewa wa sheria na jinsi ya kucheza nao
Hapa ndo maskini na watu wasio na uwezo hupoteza haki zao maana mwenye kuijua sheria, nguvu ya kupata mwanasheria mzuri na pesa ya kufanya lobbying, lazma apenye hata akifanya kosa
acha UONGO wewe,wauaji wa Kaka walio nje ni akina nani?? JINGA weweWauaji wa Kaka wote wako nje
Wauaji wa Dada wote wako nje
Mahakamani kuna kazi kweli kweli