Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........
Kwamba wale makamanda wao waliouawa baada ya ubalozi kuchakazwa na Israel, wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel.
====================

Director of the Israel Missile Defense Organization (IMDO) Moshe Patel on Monday said that nearly 40 years of investment in long range missile defense – Israel’s “Star Wars” program – had finally paid off to defend against Iran’s massive attack Saturday night.

The IMDO chief said, “all of the defense systems proved themselves well. All of their actions were coordinated after significant preparation and development of the systems, simulations and integration with actual battle units.”

“If someone thought the scenarios were imaginary” where Israel would need long range missile defense, they finally saw the relevance.
 
Nasikia Israel wametumia karibu 1B usd ku intercept makombola na drones za Iran,
Labda kuwatia hasara ndio kisasi Chao.

Tunahesabu mtu kwa mtu, majemedari kuuawa dhidi ya binti kujeruhiwa, hayo mengine hayajalishi.
 
Nasikia Israel wametumia karibu 1B usd ku intercept makombola na drones za Iran,
Labda kuwatia hasara ndio kisasi Chao.
Kwamba Israel hela ni tatizo?
matokeo ya 1B usd unayaonaje lakini?
Maana kule 7 waliuwawa
 
nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........
Halafu Israel............

Biden tells Netanyahu US will not participate in counter-strike against Iran​

President Joe Biden and senior members of his national security team, seeking to contain the risk of a wider regional war following a barrage of Iranian missiles and drones directed toward Israel, have told their counterparts the US will not participate in any offensive action against Iran, according to US officials familiar with the matter.

wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel.
Halafu hii: Hapa imetumika lugha ya vita! Ondoa mahaba na chuki!

Iran struck ‘important’ Israeli military targets – IRGC (VIDEOS)​

Multiple IDF sites have been hit and destroyed, the Revolutionary Guard Corps claims

The IDF has confirmed only “minor” damage to a single military base resulting from the Iranian strike.​

Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........
Kwamba wale makamanda wao waliouawa baada ya ubalozi kuchakazwa na Israel, wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel.
====================

Director of the Israel Missile Defense Organization (IMDO) Moshe Patel on Monday said that nearly 40 years of investment in long range missile defense – Israel’s “Star Wars” program – had finally paid off to defend against Iran’s massive attack Saturday night.

The IMDO chief said, “all of the defense systems proved themselves well. All of their actions were coordinated after significant preparation and development of the systems, simulations and integration with actual battle units.”

“If someone thought the scenarios were imaginary” where Israel would need long range missile defense, they finally saw the relevance.
Wameshaanza kujikataa huku kama hawakupiga ubalozi wa iran, hawa jamaa ni waongo waongo tu , kama hawaogopi mbona wanakanusha kama sio wao walioanzisha uchokozi watulie sasa, wamewaweka waisraeli wote kwenye risk hadi israel kwenyewe kwa ujinga wa netanyahu tu ambae so far kashindwa kila kitu hata kuwaokoa raia wake waliotekwa na mgambo
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-183330_Instagram.jpg
    Screenshot_20240414-183330_Instagram.jpg
    277.2 KB · Views: 2
Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........
Kwamba wale makamanda wao waliouawa baada ya ubalozi kuchakazwa na Israel, wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel.
====================

Director of the Israel Missile Defense Organization (IMDO) Moshe Patel on Monday said that nearly 40 years of investment in long range missile defense – Israel’s “Star Wars” program – had finally paid off to defend against Iran’s massive attack Saturday night.

The IMDO chief said, “all of the defense systems proved themselves well. All of their actions were coordinated after significant preparation and development of the systems, simulations and integration with actual battle units.”

“If someone thought the scenarios were imaginary” where Israel would need long range missile defense, they finally saw the relevance.
Wewe kwa akili yako ulitegemea Israel na Marekani wakiri kwamba malengo ya Iran yametimia? Na kama malengo ya Iran hayakutimia kwanini Israel na washirika wake povu linawatoka na balozi wao kule UN kaomba kikao cha dharura cha baraza la usalama?
 
Back
Top Bottom