Kwa hizi jezi mbaya, Yanga ilihitaji Manara aje kuzibusti

nadhani mwamedi kipindi hiki ataona aibu kuweka makorokocho kwenye jezi zetu maana manara kamsema sana.

alafu kipindi hiki mitandaon hatutapambana na uto bt tutapambana na manara hii itawasaidia sana vyura kwa kiasi fulani
 
Simba tunapambana uwanjani,huko mitandaoni acha waendelee kina Mwajuma ndala mdefu.
 
We kichwa maji kweli..Simba SC Walitengeneza jezi kulingana na mashindano na vile vile kwa sasa taratibu za FIFA unaruhusiwa kuwa na Jezi ya tatu.

Ndo Simba SC toka mwaka Juzi wana Jezi aina Tatu, Nyekundu, Nyeupe, Kijivu... Ambapo Utopolo nao leo wamezindua jezi ya Tatu, nao wanapambana nani..!?

Tumieni akili kuchangia hoja Nyiee.
 
Emu tuwe serious, hiyo jersey gagulo?
 
Kwangu mimi jezi ya msimu wa ²⁰²⁰/²⁰²¹ naipa 92% hii naipa 65% kwa kuzilinganisha ukweli ni kwamba ya msimu ulopita ilikua 🔥🔥🔥 UKIACHILIA MBALI materials Ile round ya chini iliipa muonekano pia
 
Kwani wewee misimu mingapi umeweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…