Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa,
Nani tumsikulize sasa au tuseme mgogoro ndio umeibuka Leo?

Screenshot_20220611-152637_Twitter.jpg
 
Hiyo kauli ya Spika Tulia kwanza inaonesha hafai kukalia kile kiti, ni mbinafsi, wamasai wanaumizwa lakini yeye anawatafuta wale wanaotoa taarifa, anataka wamasai waendelee kuumizwa mpaka lini?

Huyu Spika alishaonesha yeye ni kikaragosi cha ikulu siku nyingi zilizopita aliposema serikali haina ulazima wa kutekeleza maelekezo ya bunge, anajipendekeza, hafai.
 
Product za jalalani hizo.Yeye,Kabudi,Bashiru etc
 
Laana Kama tego vile maana alidanganyia kanisani/msikitini hivyo ili aache uwongo waziri mkuu wetu nilazima atubu kwanza
 
Hiyo kauli ya Spika Tulia kwanza inaonesha hafai kukalia kile kiti, ni mbinafsi, wamasai wanaumizwa lakini yeye anawatafuta wale wanaotoa taarifa, anataka wamasai waendelee kuumizwa mpaka lini?

Huyu Spika alishaonesha yeye ni kikaragosi cha ikulu siku nyingi zilizopita aliposema serikali haina ulazima wa kutekeleza maelekezo ya bunge, anajipendekeza, hafai.
Huyu alipitishwa na mama hakua Na material ya kua spika
 
Back
Top Bottom