THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Munhuuu!😎😎Utawala wa majimbo na ugatuzi wa madaraka usingekuwa na haya mambo
Halaf sheikh kabisa yule!..Waziri Mkuu Majaliwa ana tabia ya kusema UONGO.
Uongo ni nini?..Waziri Mkuu Majaliwa ana tabia ya kusema UONGO.
Halaf sheikh kabisa yule!
Utawala ulio fitinika..Waziri Mkuu Majaliwa ana tabia ya kusema UONGO.
Tena kwa kujiamini..Waziri Mkuu Majaliwa ana tabia ya kusema UONGO.
Product za jalalani hizo.Yeye,Kabudi,Bashiru etcHiyo kauli ya Spika Tulia kwanza inaonesha hafai kukalia kile kiti, ni mbinafsi, wamasai wanaumizwa lakini yeye anawatafuta wale wanaotoa taarifa, anataka wamasai waendelee kuumizwa mpaka lini?
Huyu Spika alishaonesha yeye ni kikaragosi cha ikulu siku nyingi zilizopita aliposema serikali haina ulazima wa kutekeleza maelekezo ya bunge, anajipendekeza, hafai.
Huyu alipitishwa na mama hakua Na material ya kua spikaHiyo kauli ya Spika Tulia kwanza inaonesha hafai kukalia kile kiti, ni mbinafsi, wamasai wanaumizwa lakini yeye anawatafuta wale wanaotoa taarifa, anataka wamasai waendelee kuumizwa mpaka lini?
Huyu Spika alishaonesha yeye ni kikaragosi cha ikulu siku nyingi zilizopita aliposema serikali haina ulazima wa kutekeleza maelekezo ya bunge, anajipendekeza, hafai.
Majaliwa asirudi tu 2025Laana Kama tego vile maana alidanganyia kanisani/msikitini hivyo ili aache uwongo waziri mkuu wetu nilazima atubu kwanza