Kwa hizi mvua zinazoendelea ni bora shule zifungwe kwa muda

Kwa hizi mvua zinazoendelea ni bora shule zifungwe kwa muda

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kwa sababu ya mvua hizo kubwa zinazoendelea ni Bora shule kufungwa, hata badhi ya sehemu mahudhurio ni kidogo kuliko kawaida.
 
Ngoja kwanza afe mmoja. Si unajua viongozi wetu ni reactive?
 
Back
Top Bottom