Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

Ngumi za hovyo kabisa, hawajui kabisa boxing, hata defence haipo kwa wote, jab hakuna, wanarusha rusha mikono kama walevi, yaani kujikinga na kupiga target hakuna, wanarusha rusha kama bata wanapigana, pumbaf, yaani ingekuwa mimi, napiga ngumi mimi hadi nachekaga, tena naweza funga hata mkono mmoja nikakupiga na sikukosi na utaanguka toka juu kama mti uliokatwa, nikikupiga ngumi utaona giza tupu..!!
 
Wanaojua boxing hua hawaongei.
Wewe hii ni chai tu.
 
Ngumi za hovyo kabisa, hawajui kabisa boxing, hata defence haipo kwa wote, jab hakuna, wanarusha rusha mikono kama walevi, yaani kujikinga na kupiga target hakuna, wanarusha rusha kama bata wanapigana, pumbaf, yaani ingekuwa mimi, napiga ngumi mimi hadi nachekaga, tena naweza funga hata mkono mmoja nikakupiga na sikukosi na utaanguka toka juu kama mti uliokatwa, nikikupiga ngumi utaona giza tupu..!!
Maneno mengi na ukute huna lolote, ngumi moja na safari ya makaburini inawadia!
 
Back
Top Bottom