Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

Ngumi za hovyo kabisa, hawajui kabisa boxing, hata defence haipo kwa wote, jab hakuna, wanarusha rusha mikono kama walevi, yaani kujikinga na kupiga target hakuna, wanarusha rusha kama bata wanapigana, pumbaf, yaani ingekuwa mimi, napiga ngumi mimi hadi nachekaga, tena naweza funga hata mkono mmoja nikakupiga na sikukosi na utaanguka toka juu kama mti uliokatwa, nikikupiga ngumi utaona giza tupu..!!
Ulitaka wajue boxing?

Ni mabondia wale?
 
Unapiga Kilumilumi au siyo. Utakuwa Mandonga wewe sio kwa tambo hizi
 
Vijana wacheze soka, huku kugumu. Boxing 🥊 kama hujui kujilinda vizuri kifo Kiko wazi kwenye sahani.

Inawezekana waliamua tu kufurahisha watu ila hawana utaalamu wa kina kwenye huu mchezo.

Ni vizuri hata wakaacha kurudiana.
 
Maneno mengi na ukute huna lolote, ngumi moja na safari ya makaburini inawadia!

Panga location, alafu ukirudi humu unapumua, labda hujawahi ona, sitanii, i know wewe unafanya mzaha, njoo alafu mikono mitupu, sema wapi, serious, ukirudia kupumua, basi utanishangaza mimi na dunia, narudia, mimi napiga ngumi mbaya sana, na uwe na uzito kuanzia 78 kg kwenda juu, usije, usije na 65 kg kwenda chini, sitapigana na wewe hata kidogo..!! My Height 6.3 feet..!! Weight. 96 kg of muscles and bones..!!

Narudia, napiga vibaya, ngumi nikikukosa utasikia upepo unalia, yaani sauti ya ngumi ushaisikia imekukosa ila unasikia sauti ya ngumi inapiga upepo, paap paap, upper cut, taya yote nje, kabisa….!! Tupange, alafu utasema..!! Narudia sitanii..!! Yaani hujawahi ona, mbavu navunja labisa kwa ngumi moja, pia na uwezo wa kumshika ng’ombe kichwa na kumuangusha mwenyewe, na nafanya mara nyingi kuangusha ng’ombe, pia naweza vuta tractor kwa kufunga kamba kuvuta kwa mikono au kuvuta kwa kifua, pia naweza vuta pikipiki ikiwashwa unaweka gia mimi naivuta opposite na mwelekeo wake, hizi ni baadhi tu ya nguvu nilizo nazo..!! And i own 3 big companies, na zote nasimamia, with family background..!!

Panga location, uje, tena vaa t shirt andika No Reform No Election, alafu uje..!! You will see how i break bones, njoo wewe panga tu..!! Jitolee kwa niamba ya watu humu..!! Do what i am telling you, njoo mikono mitupu kabisa, date and location.!!

La mwisho, lazima tuandikishe kupata kibali kabla ya ngumi zetu, tupate kibali halali, alafu utachukua copy ya kibali chako kaa nacho na mimi ninacho changu, ili baada ya hapo, hakuna wa kushitakiwa kwa kitakacho tokea, yaani ngumi halali, kibali lazima, sitapigana bila kibali, nadhani unajua kibali tunapata wapi..!! Ila kama huwezi ngumi vizuri, unaweza tukapigana kwa kick boxing au pia karate au judo, chaguo ni lako..!!
 
Panga location, uje, tena vaa t shirt andika No Reform No Election, alafu uje..!! You will see how i broke bones, njoo wewe panga tu..!! Jitolee kwa niamba ya watu humu..!! Do what i am telling you, njoo mikono mitupu kabisa, date and location.!!

La mwisho, lazima tuandikishe kupata kibali kabla ya ngumi zetu, tupate kibali halali, alafu utachukua copy ya kibali chako kaa nacho na mimi ninacho changu, ili baada ya hapo, hakuna wa kushitakiwa kwa kitakacho tokea, yaani ngumi halali, kibali lazima, sitapigana bila kibali, nadhani unajua kibali tunapata wapi..!! Ila kama huwezi ngumi vizuri, unaweza tukapigana kwa kick boxing au pia karate au judo, chaguo ni lako..!!
Mandonga maneno mengi ya nini
 
Panga location, alafu ukirudi humu unapumua, labda hujawahi ona, sitanii, i know wewe unafanya mzaha, njoo alafu mikono mitupu, sema wapi, serious, ukirudia kupumua, basi utanishangaza mimi na dunia, narudia, mimi napiga ngumi mbaya sana, na uwe na uzito kuanzia 78 kg kwenda juu, usije, usije na 65 kg kwenda chini, sitapigana na wewe hata kidogo..!! My Height 6.3 feet..!! Weight. 96 kg of muscles and bones..!!

Narudia, napiga vibaya, ngumi nikikukosa utasikia upepo unalia, yaani sauti ya ngumi ushaisikia imekukosa ila unasikia sauti ya ngumi inapiga upepo, paap paap, upper cut, taya yote nje, kabisa….!! Tupange, alafu utasema..!! Narudia sitanii..!! Yaani hujawahi ona, mbavu navunja labisa kwa ngumi moja, pia na uwezo wa kumshika ng’ombe kichwa na kumuangusha mwenyewe, na nafanya mara nyingi kuangusha ng’ombe, pia naweza vuta tractor kwa kufunga kamba kuvuta kwa mikono au kuvuta kwa kifua, pia naweza vuta pikipiki ikiwashwa unaweka gia mimi naivuta opposite na mwelekeo wake, hizi ni baadhi tu ya nguvu nilizo nazo..!! And i own 3 big companies, na zote nasimamia, with family background..!!

Panga location, uje, tena vaa t shirt andika No Reform No Election, alafu uje..!! You will see how i break bones, njoo wewe panga tu..!! Jitolee kwa niamba ya watu humu..!! Do what i am telling you, njoo mikono mitupu kabisa, date and location.!!

La mwisho, lazima tuandikishe kupata kibali kabla ya ngumi zetu, tupate kibali halali, alafu utachukua copy ya kibali chako kaa nacho na mimi ninacho changu, ili baada ya hapo, hakuna wa kushitakiwa kwa kitakacho tokea, yaani ngumi halali, kibali lazima, sitapigana bila kibali, nadhani unajua kibali tunapata wapi..!! Ila kama huwezi ngumi vizuri, unaweza tukapigana kwa kick boxing au pia karate au judo, chaguo ni lako..!!
Hamna bondia hapa.
 
Mchumba tu ww nikikutime na hili bichwa langu la upara huchukui round
 
Hahaha mkuu.
 
Back
Top Bottom