Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
-
- #261
Niko hapa tangu 2007. Sijawahi kimbia hoja wala kubadili ID wala sina multiple ID man. Kwamba wapinzani wakose hata diwani mmoja? Unless muwaue kwanza
Watashinda kwasababu tume yao , polisi, kila kitu wamejimilikisha ila wasisahau kuwa kila lenye mwanzo lina mwishoSasa hivi washaaanza kampeini tangu Lissu atesti mitambo
Watashinda kwasababu tume yao , polisi, kila kitu wamejimilikisha ila wasisahau kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho
Mkuu hii ni Ccm ya kizazi kipya
Niko hapa tangu 2007. Sijawahi kimbia hoja wala kubadili ID wala sina multiple ID man. Kwamba wapinzani wakose hata diwani mmoja? Unless muwaue kwanza
Sawa kabisa usibadili I'd Mkuu baada ya Uchaguzi
Hatumwabudu pia Hatuwezi kumtukana na kumdhihaki km alichofanya lissu ni kujitakia laana kule
Hivi kuna Mtanzania anaweza kumpigia kura huyo ropokaji ?
Ndio mkubwa tunataka membe asimame Chadema ili ampe changamoto Rais Magufuli asipate 100% kwani akisimama mropokaji wa ubeligiji mtapigwa tatu bila
Mkuu umeongea vizuri ,tatizo hum jamviiniHofu ya ccm ni dhidi ya Lissu ni ya haki. Wanaccm wanajua vyema wakati mgumu aliokutana nao JK uchaguzi wa 2010 dhidi ya Dr. Slaa. Wanaccm wote wanajua udhaifu alionao Magufuli kwenye kujenga hoja, na ubora na ushawishi alionao nao Lissu, wanajua fika ccm itaenda kupoteza mvuto bandia ilioujenga kwa kutumia vyombo vya dola, kunyima uhuru wa vyombo vya habari, kundi la watu wasiojulikana nk. Hivyo hawako tayari Lissu agombee maana wanajua watajikuta kwenye wakati mgumu mno wakati wa uchaguzi, na hasa baada ya uchaguzi.
Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
Ushauri wa kupuuzwa.CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwasababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Kwani ikisambaratika utapoteza nini!!?Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
Anayetukana vilaza na alivyoandika yeye, unagundua kabisa ni namna tu ya mtu kujihami na ukilazayaani ma-CCM ni vilaza na viazi kweli kweli, upepo wa Lissu unawatesa kweli kweli, na hapo bado hajachukua hata hiyo fomu ya ugombea lakini tayri mmeisha anza kuweweseka
Makosa makubwa ya Tundu Lissu ni kujifanya anajua kila kitu na kuwa yeye ndiyo sahihi hii ni sifa kubwa ya dikteta yeyote
Kukubali kumsafisha Lowassa anaonekana hana msimamo pia ana tamaa ya pesa
Kumkashifu na kumkejeli baba wa Taifa ambaye mazuri yake kwa taifa ni mengi kuliko mabaya yake
Kusapoti ndoa za jinsia moja ili mradi kuwafurahisha wazungu huku akijua pamoja na mambo hayo kufanyika si utamaduni wa watu wa watanzania wengi
Hivi vitu ndio silaha kubwa zitatumika kummaliza kwenye kampeni mambo mengine kama kukaidi kuhudhuria kesi zake kwa kisingizio cha usalama wake lakinii anaomba kugombea urais inaonyesha pamoja na yeye kuwa mwanashera aheshimu sheria