Hofu ya ccm ni dhidi ya Lissu ni ya haki. Wanaccm wanajua vyema wakati mgumu aliokutana nao JK uchaguzi wa 2010 dhidi ya Dr. Slaa. Wanaccm wote wanajua udhaifu alionao Magufuli kwenye kujenga hoja, na ubora na ushawishi alionao nao Lissu, wanajua fika ccm itaenda kupoteza mvuto bandia ilioujenga kwa kutumia vyombo vya dola, kunyima uhuru wa vyombo vya habari, kundi la watu wasiojulikana nk. Hivyo hawako tayari Lissu agombee maana wanajua watajikuta kwenye wakati mgumu mno wakati wa uchaguzi, na hasa baada ya uchaguzi.
Mkuu umeongea vizuri ,tatizo hum jamviini
Kumekua na ushabiki wa watu ambao
hauna hoja fikilishi.
Niseme Lissu si wakubeza akipitishwa
Na Chama chake ,huyu jamaa tiyari
amejijengea jina ndani nchi namaanisha
Lissu kama jina 75℅ linajulikana kwa
watanzani ,na uo bado ni mtaji mzuri
wa kisiasa ,mbali na hilo bado kipindi
cha matibabu yake amejibland sana
Katika mataifa ya ulaya na wanajua who
is lisu,na hapa siwezi shangaa akawa
Na support kubwa kutoka mataifa ya
ulaya,ukiachana na vyombo vya habari
vya kimataifa ambavyo kama akigombea
basi uchaguzi huu unaweza kuvunja
record ya kutangazwa na kufuatiliwa
na vyombo hivi.
Pia ieleweke lissu sio mwoga ,na mdhu
butu so huwezi kumchakachua kura kizembe alafu akuangalie au akubali yaishe
Kilahisi hata kwa tume hii hapo unakua
umechochea moto.
Sasa pamoja na ya lissu mwenyewe je?
vipi tena pakiwepo combination ya ACT
WAZALENDO,moto utakuaje hapa naongelea ZITTO na SEIF huko zanzibar
wakaongeza nguvu itakuweje?
JIBU ccm inaweza toboa kwa shida sana
au isitoboe kabisa .
Kwa mnao beza mkakati wa lisu kupeperusha bendera token nje ya box
Lissu anajua anacho kifanya