Kwa hiyo Chadema ndo kilikuwa chama tawala kabla ya chama cha Magu kuingia madarakani?Ulibomolewa na Chadema kwa kuwatetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Chadema ndo kilikuwa chama tawala kabla ya chama cha Magu kuingia madarakani?Ulibomolewa na Chadema kwa kuwatetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya
Kwanini siyo 100%?
Jiandaeni tu maana safari hii hatukubali kunyang'anywa ushindi wetu
Lissu huyooo magogoni
Hivi Chadema bado inamsubiria Tundu Lisu kugombea nafasi ya Urais?.Bado sijaona wa kumg'oa John Pombe Joseph (PhD)
Wenzetu hofu inawahangaisha sana. Hawajiamini pamoja na tume ya uchaguzi, kanuni za uchaguzi, na dola kuwa vyote vya kwao. Shida iko wapi? Wasubiri 99.999% ya ushindi. Wanahangaishwa na madhambi wanayofanya.Hivi hofu juu ya Lissu ni ipi mpaka mnahangaika naye kiasi hiki? Mnadhani mnamchafua kumbe ndio kwanza mnamjenga na kumtangaza zaidi
Jr[emoji769]
Uchumi unajengwa kila siku wewe wa wapiAnajenga uchumi kwani ulibomolewa na utawala wa chama gani?
Nyie mtulie siku mkishinda utafanya hivyoWenzetu hofu inawahangaisha sana. Hawajiamini pamoja na tume ya uchaguzi, kanuni za uchaguzi, na dola kuwa vyote vya kwao. Shida iko wapi? Wasubiri 99.999% ya ushindi. Wanahangaishwa na madhambi wanayofanya.
Membe c anashindana na jiwe ccm, Nyalandu au msigwa hao wengine ni watia nia ila mgombea ni mmoja Lissu na chadema inachukua majimbo yote safari hiiWekeni membe,Nyalandu au msigwa ila mkimuweka huyo wa ubeligiji hata diwani hampati
Membe c anashindana na jiwe ccm, Nyalandu au msigwa hao wengine ni watia nia ila mgombea ni mmoja Lissu na chadema inachukua majimbo yote safari hii
Akafanyaje?
Umesshau alivyokuwa akikesha usiku na mchana kuitukana Nchi yetu kwa kuwanyima Mabeberu madini ?
Tunatunza huu uzi man. Uzuri wake huwa hazifutwi hiziSijaambiwa na mtu nimesoma tathimini za awali na za sasa za ndani zilizofanyika
Ni wazi Chadema haina jimbo hata moja
Acha ujinga mkuu, huyo baba wa Taifa hakutaka kuabudiwa kama mnavyo fanyaKwa Tanzania ukimtukana Baba wa Taifa lazima mikosi na laana zikuandame
Tujifunze tusiwe km Lissu kuepuka laana na mikosi
Kulipwa mshara hiyo ni haki yake,nazungumzia serikali kumtibu kama ilivyo mtibu J.ndugaiSerkali haijamtibu vipi wakati muda wote amepata mshahara hadi akopona
Alipopona akianza kutembelea media za Mabeberu kuipaka matope Nchi yetu
Na ukizingatia mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama
Km umefuatilia ndio maana walimtorosha dereva wa lissu asihojiwe
Mh. TL akitaka aupate urais ni kwamba aje na sera nzuri kama zile za 2015. Zilikuwa zimekaa vizuri shida yangu nayoona ni kwamba ataanza kutwambia mara tudai katiba mpya wakati hata ile ya zamani iliyopo hatujamaliza kuisoma. Hapo nakwambia hata wanaoishi vijijini hawatamuelewa. Kule vijijini wao wambie maji, umeme, barabara n.k.
Acha ujinga mkuu, huyo baba wa Taifa hakutaka kuabudiwa kama mnavyo fanya
Tunatunza huu uzi man. Uzuri wake huwa hazifutwi hizi
Niko hapa tangu 2007. Sijawahi kimbia hoja wala kubadili ID wala sina multiple ID man. Kwamba wapinzani wakose hata diwani mmoja? Unless muwaue kwanzaSawa kabisa usibadili I'd Mkuu baada ya Uchaguzi