Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wenzako wanakulaumu sana kwa kushindwa shabaha, hivi ilikuwaje ukamkosa?Mungu hajaruhusu afe ili ashuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli vinginevyo lissu hana lolote ni wale wale tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wanakulaumu sana kwa kushindwa shabaha, hivi ilikuwaje ukamkosa?Mungu hajaruhusu afe ili ashuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli vinginevyo lissu hana lolote ni wale wale tu
Unataka ww kama nan?endelea na kaz yako ya kudeki hapo Lumumba
Leo umeipenda CHADEMA isife aaah thread zako humu ni nyingi kua CHADEMA imekufa kada.Mimi nashauri wanaccm tuandike zaidi ya CCM kuliko ya CHADEMA.Ni ushauri tu kama mnataka chama kisiingie shimoni
Kutea ushoga,kutetea wezi wa madini,kutetea wenye vyeti feki,kumtukana baba wa taifa,kumtukana raisi,kudhihaki kazi za raisi, kuzurula
Mi nawacheki tu sijui hii nchi mtaishika lini.sioni mlichonacho cha kuwafanya mshike nchi kuiongoza.bora na ccm.
Jibu ulimtukana nani maana tayari umelaanikaMimi Siwezi kumtukana Baba wa Taifa
Ushauri wa kupuuzwa.
Kwani ikisambaratika utapoteza nini!!?
Mleta mada ni shetani la lumumba
Hizo ndiyo zao na kipindi hiki ndiyo kina sangoma wanapiga sana ela zao
Mtanikumbuka
Tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji mtapigwa asubuhi tu
HahahahHizo ndiyo zao na kipindi hiki ndiyo kina sangoma wanapiga sana ela zao
Kwa nini ccm mnamuogopa sana Rais Lissu, kawafanyia nini
Mjiandae kisaikolojia maana kwa hotuba ya leo ya mh Lissu, hapa mwanza zaidi ya wanachama 60000 wa ccm wamehamia cdm
Mabeberu hao hao wanao wasaidia kuwajazia bakuli lenu? Amakweli shukrani za punda ni mateke
Mods sasa muweke vigezo maalumu kwa mtu yeyote kuanzisha uzi. Kigezo kikuu ni utimamu wa akili.
Aidha watu waambatanishe vyeti vya daktari au wafanyiwe deep questionnaire
Naona mmebadilishana ID kwanza moja ipumzike ila ya Bia yenuTabia za Chadema hizi