Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

Umeshakosa hekima za kujadili mada baada ya kuzidiwa hoja.

Baki na makubwa yako nami nibaki na Yesu.
 
Umeshakosa hekima za kujadili mada baada ya kuzidiwa hoja.

Baki na makubwa yako nami nibaki na Yesu.
"Umeshakosa hekima za kujadili mada baada ya kuzidiwa hoja"

👆🏽Hakika mwenye hekima hawezi kusema hivi ila sawa jitangazie ushindi sina ajizi.Baki na Yesu wako na mimi nibaki na vyote vilivyo vyema,Amin.
 
Kama huyo Mungu alitujua kuwa tutakuja kuzaliwa na kutenda maovu ambayo yye mwenyewe angeweza kuyazuia kwa kutoruhusu tuzaliwe je kuna umuhimu wa kutuhukumu tena? How the stupid your God is??
 
Umeharibu tyr,

Kwahiyo kumbe kuna watu wa motoni? Sas huyo Mungu chizi kwel alianzaje kuruhusu viumbe wasio na hatia wazaliwe ili waje kuishia motoni?

Alafu hiyo Third eye mnaitafsiri vibaya sana, hiyo haina uwezo wa kuoneaha future yako baada ya kifo, baada ya kifo ni hukumu ambayo ajuaye ni Mungu pekee yaan hata mkosaji hajui mpka pale kihama atakapopewa hesabu ya matendo yake.

Kama hujui kuhusu third eye chakra kuuliza sio kosa, hicho ni kitendo cha kufungua fikra zako na nafsi yako iweze kuona matukio yako ya hapa dunian tu..
 
Taratibu mnaanza kuhoji undani wa hizo imani zenu uchwara.

Na ndipo tuelekeako ambapo itafika muda ambao hata humo makanisani na misikitin watu hawataona aibu kuwatwanga maswali mazito wachngayna mashekhe ili kupata ukweli, chaajabu zaid hao mashekhe na wachungaji hawatokuwa na majibu ya maswali maana nao ni bendera fuata uoeooy, hii itawapa watu picha na kuwaletea sintofahamu kuhusu undani wa hizi dini.

Na huo ndio utakuwa mwanzo na mwisho wa Anguko la Dini hizi kongww ambazo zmeharibu akili nyingi za watu weus.

Taifa teule la Muumba ni Afrika na mtu mweusi tu.

Hao waisrael wa middle east ni wahuni tu walioiba history za mababu wa kiafrika na kuztumia kuhalalisha ukaaji wao eneo hilo la palestina, na mujuwe kuwa before kwenda hapo palestina walikuwa na ndoto za kuja huku East afrika, sas hapo unapata majibu kumbe hata huko Israel feki ya sas hawakuwai kuish wala hawana history yoyote kuhusu eneo hilo.

Mambo mengi ya imani za kidini zimechakachuwa mambi, na zote zimebase kwenye history ya mtu mweusi kabla ya ujio wa hao Aliens yaan watu weupe
 
Tafuten sana elimu enyi wapumbavu waahika dini, mnaokubali kudanganywa.

Utumwa ulikwisha lkn chakushangaza mpka leo kuna watu wanaungangania utumwa kwa kukubali kuendelea kuamni mafundisho ya uongo.

Technology imekuwa na inafanya hata uongo kudhibitiwa na ukwel kuwekwa wazi.

Kama waliweza tumia uongo kututawala na kutudanganya sas ni zamu yetu kutumia technologies zao kuwaumbuwa wao na uongo wao.

Huyo Yesu, Allah, yehova, elishadai,elohimu, hawa wote ni mashetan ktk uhusika tofaut na majina tofaut.

Inshort huyo Mungu wenu wa dini za uongo hayupo na hatowai kuwepo,

Muumba wa kweli waafrika mlishamsahau pale mlioacha asili zenu, wengu wenu mnazani asili ya muafrika ni kuabudu mizimu na ibada za mapangon, jambo ambalo si kweli.

Mmelishwa sumu na kukumbatia hayo maimani yanayozidi kuwakandamiza uelewa wenu na roho zenu.

Amkeni jaman huu si muda tena wa kuamini upumbavu
 
Mtume alikua kamanda wa jeshi aliongoza mapigano na aliuwa watu weng sana ila why mnamuamini na kumtukuza wakat alikua muuwaji
Ushawahi kusoma ukajua undani wa vita hivyo na lengo lake ni nini ?

Je swali la msingi aliua kwa haki au kwa dhulma m
 
Swali zuri. Mimi nawauliza Wakristo hizi habari za kuwa Israeli ni taifa teule ni nani alizisema ? Je ni Yesu na kama si Yesu ina maana Yesu hakulijua hilo ?
 
Tunapozungumzia Historia ya PALESTINE na ISRAEL ...tumefanya tafiti za kutosha za kihistoria ......Sasa ninapomuona Mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya Visaasili ( Mythology) vya dini Kichwani na moyoni alafu MTU huyo anataka kuleta hoja za KIPUMBAVU na kitumwa naamua kupuuzia tu

Kwasababu PALESTINE sio Dini ... PALESTINE ni nchi yenye WAPALESTINA Wakristo , WAPALESTINA wayuda, WAPALESTINA Waislamu na WAPALESTINA wasio na Dini .
Kwahiyo hapa hoja Ni Hutu ( Conscience) ...

Sasa unapomuona Mtumwa wa Fikra ( kuku wa israel wa Afrika)...aliyejazwa mafundisho ya Visaasili vya dini na propaganda ili atumike kulinda maslai ya MAZAYUNI kupitia Wachungaji ( Walimu) wake inakuwa inafedhehesha bara letu la Afrika...

Huwezi kupinga,kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya PALESTINE na ISRAEL Kama hujui kuhusu mambo YAFUATAYO

1.Khazaria Ashkenazi Jews

2.Historia ya Zionism movement na tabia zake

3.Azimio la BALFOUR DECLARATION OF 1917..

4.Uganda Scheme of 1903.

5.Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)

6.FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)

7. HISTORIA YA OTTOMAN EMPIRE AND MANDATE PALESTINE CHINI YA muingereza.

9.Nini maana ya "SS EXODUS ? ya 1947 ??

10.UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini??

11.14th may 1948 kulitokea Tukio gani ??

12. 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI ???

13.UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo

14. Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi kutoka ulaya)

15.Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel ??

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel ....hata Mwl.Nyerere ????

Sasa Hapo unaweza kutoa hoja lakini Kama umejazwa chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu ISRAEL na PALESTINE ...sanasana utaishia kusema " ATAYEBARIKI ATABALIKIWA ATAKAYELAANI ATALAANIWA " as if Mungu ni Mkabira.

Jifunze Historia kupitia INSTAGRAM @tabarokaijage

au Whatsup kupitia 0757790650

Ahsante
 
Negroes were knowing as really Israel/ Wana wa Muumba, hayo majamaa yalioofanikiwa kuteketeza elimu zetu na kutufanya tufuate elimu zao za uongo bas yamefanikiwa kuteka akili za waafrika weng sana, ijapokuwa itafika muda lzma waafrika wataamka na kurudisha utukufu wao
 
Kutafta hatuchoki ndiomaana tunapata ambacho wengine wavivu wanashindwa kupata
Umeelewa swali langu ? Maana hujajibu swali unaingelea habari za utumwa. Swali langu liko hapa, suala la Afrika kuwa Taifa Teule umelipata wapi ?

Kingine unaonekana unatafuta na hujui unachokitafuta utakipata wapi ? Hili ni tatizo kubwa sana. Usikute hata asili ya tamko "Afrika" hujui ni nini ? Hili ni tatizo kubwa sana.

Nasuburi jibu la swali langu.
 
Mkuu sijaharibu kitu.

Kwa hiyo Mungu haijui future?Maisha ya duniani yalikua ni plan ya Mungu!!

Wakati Adam na hawa wanaumbwa Mungu aliwaambia wasile tunda la ule mti.Unadhani Mungu hakujua watakula na ukweli ni kwamba Mungu ndiyo aliyefanya Adam na hawa wale tunda.Kwa sababu nyakati hizo Adam alikua ni pure asiyejua mema na mabaya inawezekana vipi kumuamini nyoka kua anasema ukweli?Kwa nini binadamu aliingiwa na roho ya kumuamini Shetani ilhali aliumbwa perfectly by God na alikua akitem ea uchi without problem how comes Eve anamsikiliza Shetani na sio Mungu Kama sio kwa matakwa ya Mungu?

Narudia:kwa hiyo Mungu haijui future?Katika vitabu vya dini Mungu kadhihirisha kuwa anajua watu watakaoenda mbinguni.Katika Yohana Kuna idadi ya watu wa Israel watakaoingia mbinguni.Vilevile katika Quran imeelezea kuwa Mungu anajua siku ya hukumu hivyo anajua watu watakaoifikia siku hiyo katika matendo mema.

Kuhusu third eye naona haujanielewa na wewe ndio unapotosha.Third eye itakufanya ujue ukweli katika hii dunia hivyo utajua ukweli kuhusu Mungu!! Katika Biblia na Quran Kuna vitu vimepotoshwa au kuondolewa(nimesema "au").Kwa nini idadi ya scriptures zinatofautiana baina ya madhehebu ya kikristo.Unajua Kuna gospel of Thomas? What about gospel of Philip?What about wrong interpretation of Bible from Hebrew to English in song of solomon 5:16?

Najua waislamu watasema Quran haina makosa but what about the other quranic scriptures that were burnt by the king of that time.Sikumbuki vizuri ila Kuna mahali nilipitia na kuona kuwa huyo mfalme ndiye aliyeagiza kuunganishwa kwa Quran Kama kitu kimoja na Kuna scipturers zilichomwa moto,kwa nini?

Jicho la tatu litakufunulia ukweli.Siwezi kuenda deep kwa sababu Hivi vitu ni vya usiri sana.Ukiwa na jicho la tatu utaweza kuona majini hivyo utajua ukweli either kuna majini mabaya na mazuri au majini yote ni mabaya,utajua Kama yesu ni Mungu au Yesu ni nabii,utajua kuwa kati ya Biblia na Quran kitabu kipi kinatoka kwa Mungu au vyote,Utajua nafsi yako ina ubaya au wema.

After opening third eye you have to Know your fate.Pasipo jicho la tatu mtu anatumia imani ila kwa kutumia jicho la tatu mtu anashuhudia ukweli.
 
Kwa nini idadi ya scriptures zinatofautiana baina ya madhehebu ya kikristo.Unajua Kuna gospel of Thomas? What about gospel of Philip?What about wrong interpretation of Bible from Hebrew to English in song of solomon 5:16?
Hio gospel of Thomas walikiondoka/kukikataa kwenye Bible kwa kisingizio kuwa hakijaandikwa kwa kufata mtililiko wa matukia na wala hakioneshi maneno yale Yesu aliyasema akiwa wap na akina nan maana ni kitabu kilichobeba quotation alizozisema Yesu(kwa mjibu wa hicho kitabu).

Ila kwangu mm naona kipo sawa.
Hicho cha gospel of philip ndio sijui kipoje labda uelezee kidogo
 
Ndio shida inapoanzia.Kwa nini wakitoe?Nimeelewa sababu walioitoa ila sababu yao ni ya kupumbaza watu.Na kuna wakristo hawavijui hivi vitabu ila kwa kujazwa black propaganda na walioleta dini hawajambo.

Nakuja na gospel of Philip mida mida mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…