Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Msanii wake angekua amelipw vizuri asingesimama,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaamini kuwa kulikuwa na Uchaguzi mwaka 2020 wewe ni MPUMBAVU tuKumbuka huyu alishinda Ubunge bila kupingwa Mkuu..[emoji3][emoji3]
Tujaribu mhula mmoja tuchague minimum qualification iwe form six
HAYO NI MATOKEO YA CCM KUBAKA NA KUKOJOLEA KATIBA JMTNinawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.
Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali iliyoonyesha kabisa ni chuki dhidi ya baadhi ya wasanii wakati alipaswa kuwa mwakilishi wa wasanii wote. Ni kauli ambazo sina haja ya kuzirudia hapa maana zinatrend kwa sasa.
Ninamkumbusha Babu Tale kujua kwamba anapokuwa bungeni anakuwa mwakilishi wa watanzania wote na sio mwakilishi wa WCB wala Tiptop. Kitendo cha kumtetea Kasim Mganga na kumponda Luludiva sio cha kiungwana. Pia ninamshauri mwaka 2025 atafute kazi nyingine za kufanya kwasababu wabunge mizigo hawatarudi bungeni.
Tunapaswa kubadili katiba ili angalau bungeni wasiingie vilaza kama kina Tale na kuchafua hadhi ya bunge.
View attachment 2254936
Mbunge Babu Tale akichangia bajeti ya wizara ya utamaduni
Babu Tale ni Mwakilishi wa Wasafi Bungeni!!!Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.

Imagine pesa yako uliyoihangaikia ndo inakatwa na linakwenda kulipwa jitu kama hili. Inatia hasira sana!Mbunge anayejiita chawa unategemea aseme nini sasa,Mwingine huyu hapa yaani utadhani bunge limeingiwa na mahurani,View attachment 2253343
Kuna maprofesa wa hovyo kuliko kibajaji, ukishakuwa chawa elimu haina nafasi tena,Tujaribu mhula mmoja tuchague minimum qualification iwe form six
Halafu dereva wa mbunge lazima awe na cheti cha kidato cha 4 akamwendeshe mwenye kujua kusoma na kuandika hata kama alijifunzia mtaa bila kuingia ktkt jengo la darasa,Bila kupata utaratibu wenye vigezo vinavyo eleweka ikiwemo elimu vya kupata viongozi wa Kisiasa tutarajie kuja kupata kiongozi Mkuu wa Nchi ambaye ni wa ajabu na hovyo hovyo mno. Kwa nini uongozi wa kisiasa ndio uwekewe vigezo duni vya kielimu kumpata mhusika, Kwani siasa sio ajira? Ajira yenye hadhi na mapurupuru ya Kibunge eti imewekewa kigezo cha kielimu cha kujua kusoma na kuandika huu ni mzaha wa kiwango cha juu. Tanzania kama taifa wakati nwengine tuna mizaha sana kwenye mambo ya'msingi yanayo gusa maisha watu.
Sifa ya kiongozi muhimu na muwakilishi kwenye chombo nyeti cha uwakilishi wa wananchi bunge kwa ajili ya kutungua/kupitisha sheria na kuisimamia serikali kigezo cha kielimu iwe ni kujua kusoma na kuandika. We are not serious.
Upo sahihi, aliyewaleta wabunge wa aina hiyo ndiye wakulaumiwa.Wa kulaumiwa ni huyo mnaemuita raisi wa wanyonge....chuki zake zilisababisha ajaze watu wa hovyo bungeni....mfano yule mama aliezungumza ishu za kunyonya maziwa wanawake....