Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
1. Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2. Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03. Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04. Pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05. Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06. Ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07. Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08. Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

Soma Pia: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

09. Kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumba ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
 
Wanaume tuna Mambo ya kufurahisha Sana ,hapa Kuna kamwanaume katapita kataina madini ya mwamba Kifulu alafu katakomenti madini Sana haya mwamba .

Ila muda mfupi utakakuta kapo kwake kanamtembezea kichapo mkewe kisa hakajawekewa maji ya kuoga .

Jamani kutooa kabisa nayo ni maamuzi mazuri tu narudia kusema kataa ndoa hawa wamama wa Sasa hivi watatuuwa
 
Wanaume tuna Mambo ya kufurahisha Sana ,hapa Kuna kamwanaume katapita kataina madini ya mwamba Kifulu alafu katakomenti madini Sana haya mwamba .

Ila muda mfupi utakakuta kapo kwake kanamtembezea kichapo mkewe kisa hakajawekewa maji ya kuoga .

Jamani kutooa kabisa nayo ni maamuzi mazuri tu narudia kusema kataa ndoa hawa wamama wa Sasa hivi watatuuwa
Hahahaha Noma sana
 
05. Ni muhimu sana kujua Afya ya akili ya
mpenzi wako mchumba wako.

Tanzania kwasasa wenye tatizo hili wapo wengi sana mitaani na chanzo chake kikubwa ni umasikini na kukosa Elimu Bora ya msingi.
Tatizo lipo pande zote mbili, kwa wanawake na wanaume pia, wanawake wenye tatizo hili huwa mbaya zaidi kuliko wanaume.

Watanzania wengi wamekosa Elimu Bora ya msingi, matokeo yake wengi wao uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo umekuwa mdogo sana sana, Hali hii imewafanya wengi kuwa masikini, imewafanya wengi kuwa kama mazezeta mitaani.

Umasikini uliokithiri miongoni mwa watanzania umepelekea wengi kukosa Chakula Bora utotoni, kipindi cha ujauzito na hata mbegu dhaifu zilizotokana na Baba mwenye Afya dunia matokeo yake kuleta viumbe dhaifu, kiumbe huyu dhaifu kipindi cha ukuaji akakosa pia mlo sahihi matokeo yake anakua huku ubongo wake ukiwa tatizo kubwa.

Njia pekee yakuepuka matatizo mengi katika Taifa kuhakikisha umasikini sio sehemu ya maisha ya watu, lakini pia kuhakikisha Elimu Bora ya msingi na sekondari inapatikana kwa kila Mtanzania.

Kuna hatari kubwa sana huko baada kwa uelekeo wa mambo unavyokwenda Watanzania kuwa watumwa na kutawaliwa na watu wenye akili smart na jamii zilizo strong na serious kwa sasa kwenye mifumo muhimu kama lishe na Elimu iliyo Bora.
 
Back
Top Bottom