Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

1.Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2.Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03.Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04.pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05.Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06.ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07.ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08.mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

09.kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumbaa ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
We ukiona kitu chochote hakikamiliki mpaka wawepo mashahidi ujue ni kitu hatari Niko(ndoa)
 
Back
Top Bottom