Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

1.Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2.Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03.Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04.pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05.Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06.ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07.ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08.mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

09.kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumbaa ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
Only muislam mpumbavu ndio atabadili dini kwa ajili ya mwanamke
 
Afu jamaa ukimwangalia,unagundua ameshakubal lolote linalotokea
Tatizo Tz hawanyongi, ataishia kusoteshwa condemn maisha yake yote.

Hakuna kitu kibaya kama kunyimwa furaha maishani na kujazwa stress za hofu.

Ni bora hata wangelikuwa wananyonga, ndugu wa marehemu wanaridhika na mhukumiwa naye anaridhika kwa kuondolewa stress za kila siku, maisha yote.
 
Naona hukujifunza vizuri!
Wapo ambao wamebadili dini lakini wanaishi vizuri na wenzi wao.
Kilicholeta hayo maafa ni ULEVI tu.
Cha kujifunza katika ndoa ni kujua Ulevi katika ndoa ni hatari.
Katika ndoa kuheshimiana ni jambo la muhimu sana.
Katika Ndoa mwanamme mpende Mkeo na Mkeo akuheshimu na kukutii.
 
1.Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2.Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03.Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04.pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05.Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06.ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07.Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08.Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

Soma Pia: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

09.Kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumbaa ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
IMEANDIKWA
👇👇
1 Wakorintho 7:7-9
7 Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.

8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
 
1.Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2.Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03.Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04.pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05.Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06.ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07.Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08.Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

Soma Pia: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

09.Kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumbaa ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
Hivi hii U

Hivi hii Hukumu ya kunyongwa iko mara 2?, kuna Kunyongwa hadi kufa na Kunyongwa pasipo kufa?
 
Japo wengi wamesema umetoa madini ila kiuhalisia ni madini ambayo Yako ki nadharia
Kila ulichosema hakiwezekani in real context
 
Yule alifunga ndoa ya kikristo hakuna kuachana ,
angepoteza mali zake kweny talaka ...Kikubwa zaidi nasikia jamaa ndiye aliyeanza uzinz na ulevi mpaka kurudi usiku wa manane.

Funzo kubwa : mwanamke akilipiza lazima usande.
 
1.Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2.Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03.Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04.pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05.Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06.ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07.Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08.Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

Soma Pia: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

09.Kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumbaa ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
Kosa kubwa ambalo master alifanya ni kundilisha dini kwa ajili ya mwanamke jamaa alikuwa simp,mwanamke lazima akudharau Tu! Allah atupe mwisho mwema maisha hayatabiri aisee
 
Mke akikunyima unyumba ongeza mke.
Kwani yeye sio mwanamke? Nayeye akishajua mapungufu ya mwinzie naye ataanza kukunyoosha siku ya siku unsjikuta kati unapigwa huku na huku mara pressure hiyo, mke mmoja anakusumbua je hao wawili?
 
Back
Top Bottom