Kwa huu mnyukano ndani ya CCM kama CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ingeshinda kwa kishindo kama uchaguzi wa 2010

Kwa huu mnyukano ndani ya CCM kama CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ingeshinda kwa kishindo kama uchaguzi wa 2010

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa.

Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
 
Back
Top Bottom