Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Asee watu mnapataje kazi Tena ya mishahara mirefu hivi. Yaan wengine tunasota balaa mtaani na degree za statistics,
Tupeane michongo Wana JF
 
Wala hata usitaman... mwenyew nilikuwa naona nyingi, ila saivi naona kiduchu haitoshi
 
Ahh Mzee unaona ndogo..Mimi nikipata ya 500k kwa mwezi napiga, yaan mtaan na degree bila kazi ni ovyo kabisa alafu Sasa Hawa wakitaa wanavyotusema ni noma sana
 
Back
Top Bottom