Nikikumbuka alichotaka kumfanyia Lissu pale ubalozi wa EU.Bora hata hao wana uhuru wa kuapishana, kwenda mahakamani nakadhalika.
Hapa Danganyika huruhusiwi kwenda mahakamani hata kama Rais kakwapua uchafuzi mzima yeye ndiye mwenye mamlaka hata kama haramu.
Hapa kwetu kujiapisha ni kosa la uhaini. Kenya mtu anajiapisha kama Rais hakuna kosa la uhaini na wametuzidi uchumi.
Usimtetee jpm alikuwa rais muovu kuliko marais wote tuliowahi kuwa naoMkuu
Rais hashiki silaha za kumuua mtu!
Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!
Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!
Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!
Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!
Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!
Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Mtu asiye na akili anapomwambia mtu mwingine hana akili.huna akili.

Ule uchaguzi ulikuwa wa ajabu sana hata wanaccm wenye akili walishangaa sanaTufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Usimtetee jpm alikuwa rais muovu kuliko marais wote tuliowahi kuwa naoMkuu
Rais hashiki silaha za kumuua mtu!
Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!
Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!
Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!
Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!
Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!
Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Hata hapo walipofika tu hatuwafikii hata 50% Kwa hiyo kuwapongeza ni Jambo sahihi. Hata kupitisha wagombea tu eti upande mmoja ndo unakosea kujaza fomu?Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.
Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.
halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.
Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
Pamoja na yote hayo ila wana njaa na tunawalisha.Hata hapo walipofika tu hatuwafikii hata 50% Kwa hiyo kuwapongeza ni Jambo sahihi. Hata kupitisha wagombea tu eti upande mmoja ndo unakosea kujaza fomu?
Kama walijifunza kwetu ilikuwaje basi wao wako nauli elfu moja toka hapa tulipo, ili Hali sisi ndiyo walimu wao?Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.
Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.
halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.
Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
Hiyo ni mifumo tu ila mindset zao bado ni primitive.Kama walijifunza kwetu ilikuwaje basi wao wako nauli elfu moja toka hapa tulipo, ili Hali sisi ndiyo walimu wao?
Rip in hell MagufeliTufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Ukimalizia sema! Tufanye Magufuli hakuwepo!. Maanake hii ni tabia inayomtambulisha Magufuli. Nimefuatilia kumbe hata jimboni kwake wakati wa ubunge lilikuwa na tabia ya kuwateka wapinzani ili libaki lenyewe. HIli ni shetaniTufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Mkuu umekumbusha machungu kupita kiasi! Halafu kuna mbwa huku wanamtetea yule shetwani majununi!Manina. Baada ya kifo ni hukumu.
Yuko jehanum anaungua na wale aliowatanguliza akidhani yeye ataishi milele hajawakuta wao wako mbinguni wamepokelewa na mungu.
Unakumbuka haya:-View attachment 2321498View attachment 2321499View attachment 2321500View attachment 2321501
Kuna watu hawajui wanachokiitaji.Kuna former mataga apo juu ety anamtetea anasema eti hakuwa yeye bali ni mfumo ndio ulikuwa mbaya .. nieaulize kipindi cha kikwete Maiti gani iliokotwa kwenye kiroba,watu gani walipotezwa kwa kumkosoa nani mwanasiasa gani alipigwa risasi kwa kumpinga watu wasiojulikana je walikuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakati wa BM au JK watu hawakupigwa risasi hadharani na uchunguzi kutokufanywa? Mbona hakukuwa na kupotea wasio waunga mkono? Mbona watu hawakuporwa pesa zao bank?Mkuu
Rais hashiki silaha za kumuua mtu!
Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!
Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!
Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!
Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!
Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!
Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Tukubaliane kutokubaliana. kipengere Cha kwenda mahakamani kiwepo sawa ila kwa kuwalizisha wanao kitaka.Bora hata hao wana uhuru wa kuapishana, kwenda mahakamani nakadhalika.
Hapa Danganyika huruhusiwi kwenda mahakamani hata kama Rais kakwapua uchafuzi mzima yeye ndiye mwenye mamlaka hata kama haramu.
Hapa kwetu kujiapisha ni kosa la uhaini. Kenya mtu anajiapisha kama Rais hakuna kosa la uhaini na wametuzidi uchumi.
Kwaiyo kenya hawana mfumo?Mkuu