Uchaguzi kuoyeshwa kwenye Tv haimanishi ni wa haki na huru, ni njia ambayo Kenya hutumia kuwachota akili watu wajionee kuwa huu ni uchaguzi huru kumbe sio, leo ni siku ya nne hakuna results wana zunguka tu , hata IEBC yenyewe ina ona ni moto haijui ifanye nini, kama ni huru kwa nini kila TV ina matokeo yake na mgombea wake mfukoni, kwa aibu hiyo wameondoa matokeo ya urais katika vituo vyote vya Tv na kubakiza porojo za wabunge na magavana, hiyo inaashiria nini? hapo sasa ndo wizi utatembea , yaani Africa kuwa na uchaguzi huru ni ngoma nzito.