Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Wa kulaumiwa ni Kikwete aliyeruhusu mwendawazimu agombee na kumsaidia kushinda kwa udanganyifu
 
Huwa namuomba Mungu sana nisamehe ya mwaka 2019 uchaguzi wa serikali za Mitaa, Mikoa sijui 3 kupita bila kupingwa?? KWELI?? Halafu Makada na Viongozi wateule daily makanisani/misikitini kumuomba Mungu.
Halafu hadi sasa wanaona kawaida tu yaani hakuna tatizo lolote!
Ya 2020 siyaemei kwa kuwa angalau nafasi ya kupiga kura tulipata, bali naumia kunyimwa nafasi ya kuchagua kiongozi wangu wa mtaa.
Wakubwa wenye maamuzi watuachie tuchague viongozi wetu wa mitaa tunaoishi nao. Hawa mliolazimisha hawana amani na nafasi zao. Wanajisemea mioyoni mwao na kujiona waovu sana, kumbe wamesababishiwa na wenye uchu wa madaraka. Walau wangepigiwa kura na zikachakachuliwa ingekuwa afadhali. Dharau kubwa sana ile!
Naamini kuna wakubwa na wazee wetu wengi wanaumia nafsi zao hata sasa kwa hali ile. Sio vizuri hata kama hatuamini ktk haki na uwepo wa Mungu. Haitaki hata elimu ya Msingi kujua kikichofanyika haikuwa sahihi.
Mungu akulinde kwa hotuba nzuri uliyotoa,"Mwenye masikio na asikie"
 
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Nini unamaanisha mleta mada
 
Uchaguzi kuoyeshwa kwenye Tv haimanishi ni wa haki na huru, ni njia ambayo Kenya hutumia kuwachota akili watu wajionee kuwa huu ni uchaguzi huru kumbe sio, leo ni siku ya nne hakuna results wana zunguka tu , hata IEBC yenyewe ina ona ni moto haijui ifanye nini, kama ni huru kwa nini kila TV ina matokeo yake na mgombea wake mfukoni, kwa aibu hiyo wameondoa matokeo ya urais katika vituo vyote vya Tv na kubakiza porojo za wabunge na magavana, hiyo inaashiria nini? hapo sasa ndo wizi utatembea , yaani Africa kuwa na uchaguzi huru ni ngoma nzito.
Lakini wana demokrasia kuliko wewe ona wabunge wa vyama mbali mbali walivyoshinda.
 
Mbona Mkapa na Kikwette hawakufanya UHAYAWANI kama aliyofanya Magufuli kwa Katiba hiyo hiyo? Kuiba mpaka uchaguzi wa vitongoji mwaka 2019 na uchaguzi wote wa wabunge mwaka 2020, ilikuwa ni kielelezo cha UKICHAA wa hali ya juu
Misled by inteligence for national interests!!
 
Wakenya wezi sana na wana mbinu hapo wanatuzuga kumbe chini ya kapeti michezo michafu inaendelea.

Uhuru kamuunga mkono Raila kwakua hamuamini Ruto.

Hana uhakika Ruto akishika nchi atamfanya nini.

Hivyo kinachoendelea sasa ni mipango ya wizi wa kura.
Nahisi Kama unaongea kinyume chake, ngoja tusubili siku mbili tatu, BABA anazugwa
 
IMG_20220812_191421.png

Thats how we do it,wizi wa wazi bila kujificha
 
Sisi tuko smart zaidi ya wakenya amini nakuambia ndg yangu!
Usmart Gani? Yaani mpaka magufuri kuwa rais Kuna us mart hapo?

Kenya next level Sasa hivi washindana na Israel, India German au Australia Kwa democrats
 
Pole sana mkuu ukuu wa Mungu ulitukumbusha hata shetani analazwa kwenye jokofu!
Kwa aliyafanya JPM, ukoo wake wasitumie jina lake au kujitsmbulisha maana walioumizwa ni wengi.

Hata mie walioniumiza wakati was JPM nitalipiza kisasi tu.

Walinisingizia kesi mbaya lkn nimepona lazima nitalipa tu
 
CCM wajanja sana,wanajuwa wanawaoongoza wengi mapoyoyo,eti Sasa hivi ubaya wote waliofanya kipindi cha Magu,lawama zote wameamuwa kumtupia Mwendazake ili wao waendelee kudonyowa kibingwa!!!
Huyo aliyenda kuchungulia huko yeye si alifanya 2 huku sasa nini kumlaumu mwendazake? Unazani sahizi uchaguzi utokee utaona kama kutakuwa na jipya zaidi yakuunga mkono tu.
 
Back
Top Bottom