Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Unamjua De Ulimboka!!?? Au kipindi kile wwe ulikua bado mdogo,!? unamjua Dr Mvungi!!??
 

Mkuu umeacha kumzungumia Magufuli unazungumzia Urais kama Taasisi! Magufuli hakua taasisi! Alikua one man show! 90% ya mambo ya hovyo yalifanyika kwa baraka zake! Na ambayo hakubariki basi aliyajua na hakukemea!
 
Mkuu umeacha kumzungumia Magufuli unazungumzia Urais kama Taasisi! Magufuli hakua taasisi! Alikua one man show! 90% ya mambo ya hovyo yalifanyika kwa baraka zake! Na ambayo hakubariki basi aliyajua na hakukemea!
Mkuu

UNAKUMBUKA ishu ya Mo kutekwa!!?


Jpm alisema wazi wazi kuwa inawezekanaje mtu anatekwa halafu Mamlaka hazijui hasa igp na mambosasa hajui!!?

Trust me kuna vitu vinachezwa Rais hajui hasa vya kiusalama!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Ficha upunguani wako. Nonsense
 
Ndomana mungu anatupenda watanzania kutuondolea majambazi
 
Misled by inteligence for national interests!!
Was Magufuli misled by TISS? No, on the contrary he was absolutely corrupted by absolute power. He felt like a demi-god and would dictate who to breath and who to suffocate.

But our Almighty living God showed him that he was not immortal and closed his file on 17 Mach 2021. Continue to wither Magufuli, Tanzania didn't deserve to have you as it's president
 
Muda mwingine naona tunakosea kuona kila kitu,JPM alikua anafanya,sasa JPM ameshakufa,ngoja tuone hadi 2030,matatizo yaliyokuwepo yatakoma au kupungua?
Uchaguzi wa 2025 utakuaje?
Tuombe uzima.
Yeye alikuwa ni sehemu ya tatizo haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…