Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

Hahahaaa kuna mwanangu kitaa alikua na pigo hizo. Mwisho wa siku akawa ananipa namba za pisi zake niwe nazichatisha najifanya mm ndio yeye. Nikaishia kuzila tu.

Ila mwamba alikua na kismati sana cha kudaka pisi kali za chuo na secondary enzi zile.
 
Je na ile Jiwe alivyokuwa mbunge Chato wafadhili kutoka canada walitembelea jimbo lake. Jiwe akawa mtafsiri wao. Baada ya wacanada kuwahutubia wananchi wakawaaga bye bye jiwe akawatafsiria Nunua Nunua.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…