Acheni kufuata miigizo hakuna senti inayopotea fedha zote zinaelekezwa katika miradi iliyoachwa ambayo mingi likuwa chini ya 15%,hivyo bidii kubwa zaidi imewekwa kumalizia miradi hii.
mifumo yote ni mali ya CCM ndugu, huyo Takukuru atafanya nini kama wapigani wako within?Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!!
Hatusikii kashikashi yoyote, yaani Takukuru imepoa sana sana sana!! Iondolewe tutafute njia nyingine!! Warn ukinipiga nitakupiga!!