Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli?

Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya kisiasa?hivi mna akili ninyi?mnajielewa kweli? Samia anahusikaje? Mnaleta hbr za kipuuzi.

Samia au CCM wanahusikaje katika hilo suala? MTAPOTEZA MATCH NA KUKOSA KOMBE NAWAAMBIA LABDA SI MIMI. MSIDHANI WACHEZAJI NA VIONGOZI WOTE NI MAJIZI YA CCM.
 
Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli?

Sasa mnaenda poteza hii hili kombe. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya kisiasa?hivi mna akili ninyi?mnajielewa kweli?

Samia au CCM wanahusikaje katika hilo suala? MTAPOTEZA KOMBE NAWAAMBIA LABDA SI MIMI. MSIDHANI WACHEZAJI NA VIONGOZI WOTE NI MAJIZI YA CCM.
Wafungwe kmmk zao mm simba ila dua kwa barkane upuziiiii huo. Lema alisemaga hzi team zinaa tumika vibaya
 
Pole sana Mkuu.
Mfumo wa uongozi wa hizo timu kabla ya mabadiriko zilikuwa ni copy na paste ya CCM.

Kuanzia.
Mwenyekiti.
Makamu mwenyekiti.
Katibu.
Katibu mwenezi na propaganda.

HIZO TIMU NI NGUMU SANA KUZITENGANISHA NA CHAMA CHA MAPINDUZI.
UTAKE USITAKE.


Hii Mitimu ya hovyo sana. Inakubali kutumika kama toilet paper.
 
Watalipoteza kwani waliwahi kulipata lini?.simba kushinda au kushindwa hakutatokana na kusifia kwao bali ubora mzuri au mbovu uwanjani.
 
Familia yako itakua inateseka sana ..wagonjwa wa akili wanazidi.kuongezeka.kila uchwao.
 
Back
Top Bottom