Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

Unajiita Mtu Asiyejulikana kama ishara ya kuwakubali sana hao Wasiojulikana, yet unaiponda Simba kwa kupokea maelekezo kutoka kwa Wasiojulikana? Hii nchi Mkuu sana au Chawa wake wakielekeza Mkuu sana lazima atangazwe kwenye jambo lako lazima utafanyia hivyo tu. Mwenye jeuri ya kukataa hapo Tanzania yenu ni Lissu tu. Kwahiyo usiwalaumu Simba SC. Maana hata wao hawajapenda, ila ndo hivyo hawana namna.
 
Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli?

Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya kisiasa?hivi mna akili ninyi?mnajielewa kweli? Samia anahusikaje? Mnaleta hbr za kipuuzi.

Samia au CCM wanahusikaje katika hilo suala? MTAPOTEZA MATCH NA KUKOSA KOMBE NAWAAMBIA LABDA SI MIMI. MSIDHANI WACHEZAJI NA VIONGOZI WOTE NI MAJIZI YA CCM.
Hiyo mbaya sana bora hata sikuiyo ya mechi simba wavae jezi zenye picha ya nguruwe ili kuwachafua waarabu kisaikolojia😁😁😁😁😏😏😏😏
 
Yani pamoja na hii serikali kushindwa kusimamia uwanja wa mkapa uboreshwe na kuchezewa fainali, ila bado kuna mijitu inahusianisha mafanikio ya simba na hayo hayo maccm, hapo tu ndipo wanasimba wenzangu ninapowaonaga wapumbavu ingekuwa siyo mapenzi niliyonayo kwa simba ningeombea tufungwe tu
 
Back
Top Bottom