Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

Unajiita Mtu Asiyejulikana kama ishara ya kuwakubali sana hao Wasiojulikana, yet unaiponda Simba kwa kupokea maelekezo kutoka kwa Wasiojulikana? Hii nchi Mkuu sana au Chawa wake wakielekeza Mkuu sana lazima atangazwe kwenye jambo lako lazima utafanyia hivyo tu. Mwenye jeuri ya kukataa hapo Tanzania yenu ni Lissu tu. Kwahiyo usiwalaumu Simba SC. Maana hata wao hawajapenda, ila ndo hivyo hawana namna.
 
Hiyo mbaya sana bora hata sikuiyo ya mechi simba wavae jezi zenye picha ya nguruwe ili kuwachafua waarabu kisaikolojia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Yani pamoja na hii serikali kushindwa kusimamia uwanja wa mkapa uboreshwe na kuchezewa fainali, ila bado kuna mijitu inahusianisha mafanikio ya simba na hayo hayo maccm, hapo tu ndipo wanasimba wenzangu ninapowaonaga wapumbavu ingekuwa siyo mapenzi niliyonayo kwa simba ningeombea tufungwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ